
Loading ...

Naibu Waziri OWM–TAMISEMI (ELIMU), Mhe. Reuben Kwagilwa, akifanya ziara ya kikazi katika shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua soko kuu la Majengo Jijini Dodoma alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya soko hilo kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, OWM-TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe.

Naibu Waziri OWM-TAMISEMI, Mhe. Reuben Kwagilwa, akitoa hotuba wakati wa mahafali ya 17 ya Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI) nje kidogo ya Jiji la Dodoma

Baadhi ya Maafisa Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri wakiwa katika mafunzo ya siku tatu kuhusu matumizi ya Kadi ya Alama (scorecard) katika Manispaa ya Morogoro

Waziri wa Nchi, OWM-TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akiongoza kikao kazi maalum cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI kilicholenga kuhimiza uwajibikaji kwa watendaji wa OWM-TAMISEMI

Sehemu ya majengo ya hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu
Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania (Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) waliowasilisha maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali za kada za afya katika kipindi cha mwezi wa Desemba, 2024 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo waombaji wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Halmashauri walizopangiwa.
Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Takwimu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI - 2024/25 -2028/29
Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji Midogo za Mwaka 2024
Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024

Mpango wa uboreshaji wa elimu ya awali na msingi (BOOST) umeweza kutatua changamoto mbalimbali zilizokuwepo kwenye elimu msingi ikiwemo miundombinu mibovu, msongamano wa wanafunzi pamoja na ukosefu wa madarasa ya awali na matundu ya vyoo.

Mafanikio ya Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt.Samia Suluhu Hassan
RAMANI ZA MRADI WA BOOST
ADDITIONAL BASIC EDUCATION STATISTICS 2025
BASIC EDUCATION STATISTICS 2025
Ramani ya Tanzania inayotumika kufundishia wanafunzi



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

