
Loading ...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema ufaulu kwa mwaka 2024 umeongezeka kwa asilimia 5.36% na wanafunzi 214,141 wasichana 97,517 na wavulana 116,624 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi ikijumuisha wanafunzi 1,028 wenye mahitaji maalum

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed akipokea Tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake katika Sekta ya Elimu wilayani Rufiji wakati wa Mkutano wa Walimu na Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Rufiji katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Bibi Titi Mohamed.

Mhe. Zainab Katimba (Mb), Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Taifa la Zambia na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akionesha Tuzo Maalum ya Heshima iliyotolewa na Bunge kwa kutambua na kuthamini kazi aliyoifanya ya kuleta maendeleo nchini tarehe 31 Mei, 2025

index.Election Subtitle



leaders.Minister of State, President's Office Regional Administration and Local Government

leaders.Permanent Secretary President's Office Regional Administration and Local Government

Mpango wa uboreshaji wa elimu ya awali na msingi (BOOST) umeweza kutatua changamoto mbalimbali zilizokuwepo kwenye elimu msingi ikiwemo miundombinu mibovu, msongamano wa wanafunzi pamoja na ukosefu wa madarasa ya awali na matundu ya vyoo.

Mafanikio ya Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt.Samia Suluhu Hassan
Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania (Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) waliowasilisha maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali za kada za afya katika kipindi cha mwezi wa Desemba, 2024 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo waombaji wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Halmashauri walizopangiwa.
Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Takwimu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI - 2024/25 -2028/29
Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji Midogo za Mwaka 2024
Ramani ya Tanzania inayotumika kufundishia wanafunzi
Jarida la Mradi wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu
PlanRep-Policy-User-Terms
Majina ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho Januari-Julai, 2023
Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024