• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Waziri Jafo atoa maagizo mazito kwa viongozi Wapya .

Imewekwa tar.: July 16th, 2020


Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemai Jafo amewataka viongozi wanaopatiwa dhamana katika nchi kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa kufanyakazi kwa bidi ili kuacha alama kwa jamii.

Akiongea na Viongozi wapya walioteuliwa kushika nyadhifa katika  Mamlaka za Serikali za Mitaa leo  kwenye Ofisi ya Rais- TAMISEMI iliyoko Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma   Mhe Jafo amesema kuwa viongozi wanatakiwa kufanyakazi  kwa  bidi, weledi  na uaminifu hasa katika suala zima la kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao.

Mhe. Jafo anafanua kuwa viongozi walioteliwa na kupatiwa dhamana wanapaswa kufanya, kusema  na  kutenda yale ambayo yatamuacha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania salama, hivyo kushindwa kutimiza majukumu yao ni kumuangusha Rais ambaye lengo lake ni kuwasaidia wananchi maskini.

“Ieleweke kuwa asilimia 21 ya Bajeti ya Serikali ipo OR-TAMISEMI,  asilimia 72.6 ya watumishi wote nchini wanatoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na miradi yote inayogusa wananchi OR-TAMISEMI, hivyo tukishindwa kutimiza vyema majukumu yetu, kelele za wananchi zinakuwa kubwa kuliko jambo linguine lolote, hivyo katimizeni majukumu yenu kwa ufanisi mkubwa” amesisitiza Mhe. Jafo.

Amewaagiza viongozi hao kusimamia vyema fedha za Serikali zinazotolewa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo ili iweze kukamilika kwa wakati na kuhakikisha inaanza kutoa huduma bora kwa wananchi.

Kuhusu Utendaji kazi Mhe. Jafo amewataka kuacha kufanyakazi kwa maigizo kwa kutaka sifa na umaarufu  bali wafanye kazi kwa kuwahudumia wananchi na kutatua kero zao  kwa wakati ili kupunguza malalamiko na kuleta maendeleo katika maeneo yao.


Ameendelea kuwataka viongozi hao kudumisha ushirikiano, kuacha malumbano  na kufanya kazi kwa umoja ili kuhakikisha wanawasaidia wananchi katika kutatua kero na changamoto walizonazo lengo likiwa ni  kuleta maendeleo kwa jamii na Taifa kwa ujumla

“Haipendezi kukuta, Mkuu wa Mkoa anagombana na Mkuu wa Wilaya, au Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya kazi haziendi kwasababu ya ugomvi wenu, kusema ukweli sitarajii viongozi nyinyi ambao Rais amewateua ili msaidie majukumu mkafanya hivyo, haya ni mambo ambayo hayaleti maendeleo katika jamii. “amesema Mhe. Jafo


Aidha amewataka kuhakikisha wanafanyakazi kwa kuzingatia mipaka ya kazi, kwa kuheshimiana na wasifanye kazi kwa kushindana kwa kuwa wote wanajenga nyumba moja ya kuwatumikia wananchi.


Wakati huohuo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mhandisi Joseph Nyamhanga amewataka viongozi hao  kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa mapato kwenye maeneo yao  ili kutimiza malengo yalipangwa na Serikali.


Amewataka kufanyakazi kwa bidi, weledi na uaminifu kwa kutimiza majukumu yao kikamilifu ili kuunga mkono juhudu za Serikali za kuwaletea mabadiliko wananchi hasa katika suala zima la utoaji huduma bora kwa jamii.


Naye Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Mhe. Aboubakar Kunenge   amesema kuwa watashirikiana katika utendaji kazi ili kutimiza malengo ya Serikali ya kuwahudumia wanachi, hivyo watekeleza maagizo yatakayotolewa na Serikali na watatimiza majukumu  Kikamilifu.



Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA ATNO AWAMU YA PILI,2023 September 27, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • DMDP II MBIONI KUANZA KAZI ZA UJENZI

    September 27, 2023
  • SHULE SALAMA MWAROBAINI WA UKATILI DHIDI YA WATOTO

    September 27, 2023
  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.