• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WATAFUTIENI MASOKO VIJANA WANAOPATA ELIMU NJE YA MFUMO USIO RASMI- KHALID

Imewekwa tar.: October 30th, 2024

Angela Msimbira SONGWE

Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa zimeshauriwa kuhakikisha vijana wanaopata elimu nje ya mfumo usio rasmi wana tafutiwa masoko ili kupunguza wimbi la vijana wanaozurura mitaani kwa kukosa muelekeo wa maisha.

Rai hiyo imetolewa leo Oktoba 29, 2024 mkoani Songwe na Naibu Katibu Mkuu Utawala, Wizara ya Elimu na Mafunxo ya Amali Zanzibar, Khalid Masoud Waziri  wakati kufunga kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa shughuli za programu ya kuhudumia watoto UNICEF katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Songwe.

Amesema kuwa Serikali imeamua kuanzisha mpango wa elimu changamani kwa vijana walioko nje ya shule IPOSA kwa lengo la kutoa ujuzi, lakini ipo haja ya viongozi wa mikoa na halmashauri kuhakikisha wanawatafutia masoko ya bidhaa wanazozitengeneza ili ziwaongezee kipato na kujiatia ajira.

'Vijana wa IPOSA wakipata ujuzi na kuwaacha bila kuwatafutia ajira wanarudi mitaani, hivyo ni wajihu wa kila kiongozi ngazi ya mkoa na halmashauri kujiuliza baada ya vijana hao kupata ujuzi nini kifanyike ili vijana hao wawe na manufaa kwa taifa."

Khalid pia amezitaka halmashauri kuhakikisha wanabuni viwanda vidogo vidogo ambavo vitawasaidia vijana hao kupata ujuzi utakaowawezesha kujikwamua kimaisha na kuacha kuzurura mitaani bila kazi.

Aidha, amezitaka IPOSA na ZIPOSA kukaa chini kwa pamoja na kuja na mpango mkakati wa mashirikiano ya pamoja katika kuhakikisha wanakuwa na masoko kwa vijana hao waliopo nje ya mfumo rasmi wa shule kwa upande wa Zanzibar na Tanzania Bara.

Naye Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Elimu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Susan Nussu amesema kuwa lengo la kikao kazi hicho ni kuwajengea uwezo maafisa elimu wa mikoa na halmashauri kuhusu utekelezaji wa miradi ya UNICEF pamoja uwekaji wa mpango wa bajeti wa mwaka 2025/2026.

Vilevile mwakilishi kutoka wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Frank Angusi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ili wadau mbalimbali wa elimu kushirikiana kwa pamoja katika kutekeza mfumo mzim

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.