• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Wataalam wa elimu toeni taarifa na takwimu sahihi katika kuboresha elimu nchini. Mhe. Silinde

Imewekwa tar.: January 26th, 2022

Na Asila Twaha, Arusha

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde amewataka  Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji wa taarifa na takwimu sahihi za elimu ili kuboresha usimamizi  wa  elimu.

Akizungumza hayo jana  Jijini  Arusha wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa  Umoja wa Maafisaelimu wa Mikoa na Halmashauri Tanzania Bara(REDEOA) lengo likiwa ni kujifunza, kubadilishana uzoefu na namna ya  kuzitatua changamoto katika utendaji kazi wa shughuli za kielimu.

Katika mkutano huo Mhe. Silinde amewataka viongozi hao kusimamia miradi ya elimu na  kuwepo na  taarifa na takwimu sahihi za kielimu ili  elimu inayotolewa iendane na  uhitaji wa sehemu husika.  Aidha, amewaelekeza viongozi hao kuzitatua changamoto zinazo ikabili sekta ya elimu.

Amesisitiza kusimamia suala la uandikishaji kwa wanafunzi wa darasa Awali na Kwanza Mhe. Silinde amesema bado ni changamoto amezielekeza  Mamlaka za Serikali za Mitaa wakiwemo wasimamizi wa elimu kuhakikisha wanasimamia suala la uandikishwaji  wa  wanafunzi  ili  watoto  wapate  elimu.  “Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu imeidhinisha fedha kiasi cha shilingi bilion 304  kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya elimu  ya  kufundishia  na kujifunzia amesema ni vyema watoto  wapate elimu ili Taifa liwe na wataalam wengi na bora.

Vilevile ameeleza kuhusu azma ya Serikali ya  kuendelea kuajiri  walimu  na kuendelea kuboresha maslahi yao amewataka wasimamizi  hao  kufanya  kazi kwa waledi  katika utoaji na kusimamia  walimu. Akizungumzia   ununuzi wa magari ya Maafisaelimu Sekondari amesema magari hayo yameshaagizwa  na taratibu zitakapokamilika hivi karibuni watakabidhiwa   amesema  hayo yote ni katika kuboresha sekta ya elimu ili waweze kusimamia.

“Nimeridhishwa na kauli mbiu hii ya   “Kuboresha Miundombinu ya Shule ni Kuimarisha Elimu kwa Maendeleo endelevu na Kukuza Uchumi wa Taifa” kauli mbiu inaendana  na malengo na utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa adhma yake ni kuhakikisha, kuendeleza elimu bila malipo na kuboresha miundombinu ya elimu”. amesema  Mhe. Silinde

Aidha, nitoe msisitizo kwa wasimamizi wa elimu kuhakikisha kuwa walimu na wanafunzi wanahudhuria darasani kila siku kulingana na ratiba za masomo zilivyopangwa ili kuepuka kuathiri utekelezaji wa Kalenda za mtaala.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe  akitumia mkutano huo kwa kuwapongeza maafisa hao kwa usimamizi wa madarasa 15000 ya Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19,  na kuwaelekeza Wakurugenzi kuendelea na  usimamizi wa fedha za Serikali  na kupanga bajeti vizuri ya fedha za mapato ya ndani ili kujenga  na kuendeleza ujenzi wa matundu ya vyoo  mashuleni.

Kwa upande wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Dkt. Laurean Ndumbaro amewahakikishia watumishi wote wa Umma kuwa, usimamizi wa haki za watumishi utaendelea kwa kuzingatiwa  Sheria, Taratibu za Utumishi wa  Umma na kuelezea mfumo wa uhamisho kwa walimu na watumishi unafanyiwa kazi hivi karibu utakuwa tayari kutumika na kabla ya kutumika kutakuwa na mafunzo ili kuwe na uwelewa katika kuufanyia kazi katika kutenda haki  amesema hii itasaidia mgawanyo sawa kwa watumishi sehemu za kazi.

Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BARABARA YA MVUMI KUWEKWA LAMI KM 3

    May 26, 2022
  • PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE

    May 25, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ASIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI, MAAFISA WATANO ARUSHA

    May 24, 2022
  • WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWENYE HALMASHAURI

    May 24, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.