• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Wasimamizi wa elimu fanyeni kazi kwa ushirikiano ili kutoa elimu bora nchini. Mhe. Silinde

Imewekwa tar.: January 16th, 2022

Na Asila Twaha, TAMISEMI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde amewataka  Maafisa Elimu wa Mikoa, Wathibiti  Wakuu wa Ubora wa Shule Kanda kuendelea  kushirikiana kwa kusimamia  Sheria, Kanuni na Miongozo katika utekelezaji  wa  shughuli za elimu nchini.

Mheshimiwa Silinde ameyasema  hayo leo  Januari 15, 2022  Jiijini  Dodoma wakati wa kufunga Mafunzo ya  Uzinduzi  wa  Kalenda  za  Utekelezaji  wa  Mitaala  kwa Maafisa  Elimu wa Mikoa na Wathibiti  Wakuu  wa  Ubora wa Shule Kanda.

Akiendelea kufafanua umuhimu wa Kalenda ya Utekelezaji wa Mitaala Mhe. Silinde amesema ni zana muhimu ambapo ikitumiwa itasaidia kutekeleza mitaala katika muda uliopangwa.

“Maafisa Elimu Mkoa  tambueni kuwa Kalenda ya Utekelezaji wa Mitaala  inaanza kutumika Januari 2022 hivyo, utekelezaji wa mafunzo haya upewe kimpaumbele cha hali ya juu”. amesisitiza Mhe. Silinde

Aidha, Mhe. Silinde amesema  kumekuwa na hofu kuwepo kwa kalenda hiyo   kunaweza kupunguza ubunifu wa mwalimu amewatoa hofu Maafisa  hao  na kuwaelekeza Maafisa Elimu wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa  kuhakikisha wanashirikiana kwa kufanya uchambuzi wa wakina wakati wa utekelezaji  ili kubainisha changamoto mapema  na zifanyiwe kazi kwa haraka.  

“Hakikisheni mafunzo    yanawafikia walengwa waliomo katika mfumo wa elimu wekiwemo Maafisa Elimu wa Halmashauri, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu wote waliopo shuleni” amesema Mhe. Silinde

Akitoa wito kwa Wathibiti Wakuu  wa Ubora wa Shule Kanda kushirikiana na Wathibiti Ubora wa Shule ngazi za Wilaya zilizopo katika Kanda ili Kalenda  za  Utekelezaji  wa  Mitaala  iwe  ni nyenzo ya majukumu yao ya kila siku.

Kwa upande wa Naibu Katibu Mkuu (Elimu) TAMISEMI Gerald Mweli amesema, kwa mafunzo  ya  Kalenda ya Utekelezaji wa Mitaala  ni  kupata mfanano wa utekelezaji wa mitaala nchi nzima,  kupima kwa wakati na  kupima kwa walimu  jinsi watakavyo tekeleza mtaala huo.  

Aidha Naibu Katibu Mkuu Mweli ametoa wito kwa Maafisa hao kuendelea kushirikiana  kwani Kalenda za Utekelezaji wa Mitaala ni mara ya kwanza unaenda kutumika nchini.

Naye Mwenyekiti wa Maafisa Elimu wa Mikoa Bi. Germana Mng’ao ameishukuru Serikali kwa kupata mafunzo ya  Kalenda ya Utekelezaji wa Mitaala  na kuahidi  kushirikiana, kuisimamia na kuitekeleza  kwa ufanisi.


Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BARABARA YA MVUMI KUWEKWA LAMI KM 3

    May 26, 2022
  • PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE

    May 25, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ASIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI, MAAFISA WATANO ARUSHA

    May 24, 2022
  • WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWENYE HALMASHAURI

    May 24, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.