• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala simamieni utunzaji wa siri za Serikali- MAJALIWA

Imewekwa tar.: June 30th, 2021

Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa  amewataka  Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa yote nchini kuhakikisha wanasimamia na  kudhibiti utunzaji wa siri za Serikali katika maeneo wanayofanyia kazi

Akifungua Mafunzo ya  uongozi  kwa wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala na Mikoa leo Jijini Dodoma Mhe Majaliwa amesema kuwa kuna  wimbi limeibuka kwa baadhi ya barua kukutwa kwenye mitandao ya kijamii huku zikiwa na siri za Serikali hivyo Viongozi hao wanawajibu wa kuhakikisha  siri za serikali hazisambai hovyo kwenye mitandao ya Kijamii

Amesema kuwa kumekuwepo na tabia kwa barua za Serikali kuonekana kwenye mitanndao ya kijamii ikiwemo Whatsaap, Istragramm, twitter  jambo hili ni aibu na sio usiri wa nyaraka za Serikali, hakikisheni mnalinda  na kudhibiti utandawazi  uliopo katika suala la utunzaji wa siri za Serikali.

Ameawataka viongozi hao kuhakikisha wanasimamia  watumishi wa umma hasa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa  ili waweze kutunza  siri za ofisi  na kuwaelekeza kutumia mfumo unaokubalika katika utoaji wa taarifa na usambazaji wa nyaraka za Serikali

Wakati huohuo,  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema wataleta mapendekezo ya kuwapima wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri wote nchini kwa kutenga fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya wananchi.

Ameendelea kusema kuwa Serikali inaenda kuchambua fedha inayobaki ya asimia 40 ya mapato ya ndani ili kuleta ulinganifu katika matumizi kulingana na umbali wa Halmashauri husika kwa kuwa serikali inataka fedha yote inayokusanywa kwenda kwenye miradi ya maendeleo.

“Kuna haja ya kuzichambua kwa kina matumizi ya fedha zinazotolewa na Serikali ambapo Halmashauri inayopata shilingi bilioni 1 kwa mwaka  anaendesha Halmashauri kwa shilingi milioni 600 kwa mwaka  na Halmashauri inayopata bilioni 5 kwa mwaka anaendesha Halmashauri  kwa bilioni 2  na Halmashauri inayopata bilioni 20 wanaendesha Halmashauri kwa shilingi  bilioni 8 kwa mwaka  ambapo wakuu wa Idara ni haoahao na watumishi ni haohao, hii si sawa “ amesema Waziri Ummy

Waziri Ummy amesema kuwa Serikali imedhamiria kuwekeza nguvu katika ukusanyaji wa mapato kupitia vyanzo ambavyo si kero kwa wananchi na kudhibiti matumizi yasiyo na tija na kusimamia kikamilifu sera zilizoko kwenye maendeleo

Aidha, Waziri Ummy ametaja vipaombele vya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuhakikisha wanaboresha huduma za afya ya msingi, kuanzia ngazi ya zahanati, vituo vya afya na Hospitali za Wilaya, kuboresha elimu msingi na Sekondari katika masula yote ya ujenzi wa miundombinu na ufundishaji, kuboresha na kuimarisha miundombinu ya barabara, kuwawezesha wananchi kiuchumi na uendelezaji miji na vijiji

.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • MSIKWAMISHE MIRADI YA SEQUIP - Silinde

    June 29, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.