• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala msilewe madaraka- Ndugai

Imewekwa tar.: July 3rd, 2021

Na Atley Kuni-DODOMA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, amewataka wakuu wa Mikoa kote nchini, kuacha tabia yakulewa madaraka na kuonea watu bali wakafanye kazi zao kwakuzingatia misingi ya utawala bora.

Spika Ndugai ameyasema hayo leo Julai, 03, 2021, wakati akifunga mafunzo Uongozi ya siku nne yaliyo andaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa Uratibu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ambapo Jumla ya Wakuu wa Mikoa 26 na Makatibu Tawala wa Mikoa yote 26 wamepatiwa mafunzo hayo kwa muda wa siku tatu jijini Dodoma.

“Kasimamieni Sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma, msiende kumuonea mtu, kawatumikieni matajiri na masikini bila kujali uwezo wao wa kifedha” amesisitiza Spika Ndugai.

Ndugai, amewataka viongozi hao kutoruhusu urasimu, na badala yake wawe  watu wanaopatikana ili wananchi waweze kuwafikia kwa urahisi kufikisha kero zao, kwakuwa wao kama wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala, jukumu lao kubwa nikuangalia hali ya Usalama katika Mkoa, hivyo katika Mikoa ipo Migogoro mingi, na suluhu pekee ni kwa kuwasikiliza watu wanao waogoza.

Katika hatua nyingine Mhe. Ndugai, amewataka viongozi hao kwenda kusimamia rasilimali za umma kwa weledi, na maarifa walionayo pamoja na kudumisha mahusiano mema.

“Nendeni mkadumishe mashirikiano baina yenu pamoja na taasisi zingine zote mnazo shirikiana nazo kwa namna moja au nyingine, epusheni migongano ya ninyi kwa ninyi katika maeneo yenu” Mhe. Ndugai.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu, akimkaribisha Spika Ndugai kufunga Mafunzo hayo, alimhakikishia Spika Ndugai kuendelea kushirikiana na mhimili huo wa Bunge katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

“Mhe. Spika, Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa hawa ndio wasimamizi wakubwa wa mambo yanayo pitishwa na Bunge, hivyo sehemu ya Mada ambazo wamefundishwa ni pamoja na mahusiano na taasisi zingine, tunaimani kabisa baada ya mafunzo haya ushirikiano huu unakwenda kudumishwa” alisema Waziri Ummy.

Naye Katibu wa Wakuu wa Mikoa, ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martin Shigella, kwa niaba ya wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ameahidi kwenda kuyaishi yale yote waliyojifunza, ikiwepo kukabiliana na watu ambao wanaweza kuwachochea na kujikuta wanafanya kazi kwa mihemuko.

Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kwa kushirikiana na Taasisi ya Uongozi, wameandaa mafunzo ya Uongozi kwa viongozi hao kwa muda wa siku tatu, ambapo jumla ya mada 10 zilifundishwa wakati wa Mafunzo.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.