• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WADAU WA ELIMU WAOMBWA KUSHIRIKI KUCHANGIA MAENDELEO YA ELIMU NCHINI

Imewekwa tar.: August 15th, 2023

Na. Angela Msimbira, Dar es Salaam

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Angellah Kairuki amewaomba wadau wa maendeleo nchini kushiriki katika kuchangia maendeleo ya elimu kwa kutoa kiasi cha fedha kitakachoiwezesha  Serikali kukidhi kigezo cha kupata ufadhili wa zaidi ya dola za Marekani milioni 50 kupitia Multplier Grant 2023. 

Mhe. Kairuki ametoa ombi hilo kwa wadau  wa elimu Mkoa wa Dar es Salaam Agosti 14, 2023  katika Ukumbi wa Anatouglo Jijini Dar es Salaam kwenye kikao kazi kilicholenga kuwajengea uelewa kuhusu dhana  ya GPE LANES  MULTIPLIER GRANT na kuwashawishi kuchangia maendeleo ya elimumsingi.

Mhe. Kairuki amesema endapo Tanzania itaweza kupata ufadhili huo fedha zake zitachangia katika kuiwezesha Serikali kutekeleza mipango mipya endelevu iliyoibuliwa na mabadiliko ya Sera na Mitaala ya Elimu hususani katika kufanikisha utekelezaji wa eneo la Mafunzo ya Amali.

Amesema kuwa kupitia ufadhili wa GPE Multiplier nchi 18 zimetengewa dola za Marekani milioni 50 kiwango cha juu cha mgao ‘Maximum Allocation’ kwa Mwaka 2023 ambapo Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo lakini fedha hizo zitatolewa kama nchi itakidhi kigezo cha wadau elimu nchini kuchangia.

Mhe. Kairuki amesema upatikanaji wa motisha hiyo unafuata hatua mbalimbali ambapo kila dola moja ya Marekani itakayotolewa kupitia sekta binafsi ikiwemo kampuni, asasi za kiraia na benki, Mfuko wa GPE utatoa dola moja ya Marekani.

Amesema kuwa kila dola tatu za Marekani zitakazotolewa kama msaada au msamaha wa fedha za mkopo kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa au nchi washirika wa maendeleo, Mfuko wa GPE utatoa dola moja ya Marekani hivyo amewaomba wadau wa maendeleo ya elimu nchini kuchangia fedha.

“GPE wameonesha nia ya kutufadhili kiasi cha dola za Marekani milioni 50 baada ya wadau wa ndani kuonyesha nia ya kuchangia katika masuala ya elimumsingi, ninawaomba sana wadau wetu kuiwezesha nchi kupata fedha hiyo itakayotumika kuboresha miundombinu ikizingatiwa kuwa bado kuna uhitaji mkubwa, ” Mhe. Kairuki amesisitiza. 

Aidha, Mhe. Kairuki amesema kuwa ili kuweza kupata fedha kupitia ufadhili wa GPE Multiplier, wadau watatakiwa kuandika barua za kuweka nia ya kuchangia katika masuala ya elimumsingi ili kuwezesha nchi kujaza tamko la nia za wadau kuchangia kupitia Fomu ya “Expression of Interest (EoI) itakayotumika kama kigezo cha upatikanaji wa ufadhili huo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.