• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

Viongozi wa Serikali za Mitaa kuweni chachu ya Mabadiliko, Nzunda

Imewekwa tar.: June 14th, 2018

Angela Msimbira, OR-TAMISEMI

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  anayeshughulikia Elimu Tixon Nzunda amewaagiza Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kujenga uelewa wapamoja  kwenye ngazi ya Halmashauri na wadau wa Biashara kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali nchini.

Nzunda ameyasema hayo wakati akifunga warsha ya namna ya Uendeshaji  wa mabaraza ya Biashara  kwa Mikoa na Halmashauri zote nchini iliyoandaliwa  na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Mradi wa Local Investiment Climate (LIC) iliyofanyika kwa siku mbili katika ukumbi  wa LAPF Jijini Dodoma.

Nzunda amesema Mamlaka za Serikali za Mitaa hazifanyi kazi kama timu ambapo mpaka sasa wataalamu  wengi hawajui miradi inayotekelezwa na  mradi wa Local Investiment Climate (LIC) utashangaa anayefahamu ni Mkurugenzi tu hali inayopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya nchi.

 “Menejimenti  za Mamlaka za Serikali ya Mitaa bado hazijajua utekelezaji wa mradi wa LIC ambapo ukimuuliza Afisa Kilimo, Mchumi au mweka hazina kuhusu mradi huo wanakuwa hawana manijibu yanayoeleweka” Anasema Nzunda

Nzunda anafafanua kuwa Menejimenti isipokuwa na uelewa wa pamoja katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo haiwezi  kufanya kazi ya kukuza uchumi wa nchi, ni vyema kukawa na uelewa wa miradi hiyo kuanzia ngazi ya Kata, Wilaya, na Mkoa kwa ujumla.

Nzunda amewaagiza Viongozi hao kutoe elimu kwa Menejimenti zao ili kujenga uelewa wa pamoja  kwenye ngazi ya Halmashauri na kwa wadau wa maendeleo kwa kuwa Uwekezaji unafanyika katika ngazi ya  Halmashauri  na pia ni vyema wananchi wapewe elimu  hii  ili wajue  kinachokwenda kutekelezwa kupitia mradi wa LIC.

Amewataka  viongozi hao kubadilisha mtanzamo na tabia ya  kuwaona wawekezaji kama wamekuja kumaliza shida zao ambapo wanachi hawachangii nguvu kazi katika kukamilisha miradi hiyo kinachotakiwa kwa sasa ni  mtizamo chanya wa kushirikiana nao na kuwawezesha kukamilisha miradi hiyo.

Amesema kufanikiwa kwa Wawekezaji hasa wa Sekta Binafsi  kutasaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa  kuweza kupata mapato zaidi  kupitia kwenye uwekezaji unaofanyika nchini.

Amewaagiza Viongozi wa Serikali za Mitaa kukaa pamoja na Wawekezaji na kujadiliana nao  ili waweze kutoa maoni yao ili  Serikali  iweze kupanga mikakati ya pamoja ya namna ya kusonga mbele katika kuimarisha mazingira ya uwekezaji Nchini.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.