• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

Imewekwa tar.: February 24th, 2021

Na Sekela Mwasubila, Kondoa

Halmashauri ya mji wa Kondoa imetoa fedha za mikopo isiyo na riba jumla ya shilingi 147.6 kwa vikundi 47  vya wanawake, vijana na walemavu katika kipindi cha miaka mitano ikiwa ni kutekeza agizo la serikali la kutenga asilimia 10 kutoka mapato ya ndani ya halmashauri.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Msoleni Dakawa amesema mikopo hiyo imetolewa kwa vikundi hivyo vinavyojishughulisha na ufugaji wa Kuku, utengenezaji wa Samani, kilimo cha Umwagiliaji, Ushonaji nguo, upondaji wa Kokoto, Mama lishe, uoshaji wa Magari, uuzaji wa magenge sokoni na utengenezaji ya mikanda na mapambo ya gypsum.

“Lakini pia tuna mpango wa kutoa maguta kwa vikundi vya uzoaji taka na usafi wa mazingira ili viweze kufanya biashara ya uzoaji taka mjini na kujiingizia kipato,”amesema Dakawa.

Mojawapo ya vikundi vilivyonufaika na mikopo hii ni kikundi cha AMSHA AMSHA kilichopo katika kata ya Serya kinachojishughulisha na Kilimo cha umwagiliaji ambacho katika mwaka wa fedha 2018/2019 walipewa kiasi cha shilingi milioni 3 na kulima matikikiti, nyanya na pilipili hoho.

“Tulipovuna tuliuza mazao hayo katika soko la ndani Kondoa na mengine kupeleka mkoani Dodoma na kufanikiwa kupata shilingi milioni 12 na kugawana kwa wanachama wote 10 lakini pia tulifanikiwa kurejesha fedha yote Halmashauri tuliyokopa na kuboresha maisha yetu na kwasasa tunaishi vizuri kabisa,”amesema mmoja wa wanakikundi hicho.

“Kuna wadau wa shirika la SEVIA wapo ndani ya Halmashauri wanatoa ruzuku za pembejeo kwa vikundi vinavyojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji tumeongea nao na katika mwaka huu wa fedha wamekiingiza na kikundi hicho na wataona jinsi ya kuwasaidia wao wanatoa msaada wa pembejeo na mashine ndogo ndogo za kilimo pia tutawatembelea wanakikundi ili kuwajulisha hili,”amesema Hassan Kiseto.

Nacho kikundi cha watu wenye ulemavu kiitwacho WANAHARAKATI GROUP wamekiri kupokea mkopo wa shilingi milioni 2.5 na Halmshauri ya Mji Kondoa ili kuboresha hali ya maisha yao na wamerejesha fedha yote na wanaendelea na biashara walizozianzisha.

Mmoja wa wanakikundi Athuman Hassan amesema mkopo huo umemwezesha kukodi kibanda ambacho sasaa anauza vitu vidogo vidogo, amenunua mbuzi wawili wa kufuga shughuli zinazomusaidia kuendesha maisha yake

UPENDO GROUP ni kikundi cha wanawake waliopo katika Soko Kuu la Kondoa chenye jumla ya wanakikundi 10, ambao walifanikiwa kupata mkopo wa shilingi milioni 3 katika mwaka wa fedha 2019/2020 na kufanikiwa kurejesha ndani ya miezi 6.

 “Fedha hizi zimetusaidia kuongezea katika mitaji ya biashara zetu kiukweli na tumefanikiwa kununua mbuzi 15 na kuku 30 wa kienyeji na tunafuga kama kikundi maisha yanaenda tofauti na mwanzo na wenzetu wengine wamefungua magenge yao wanajipatia kipato ila tunaomba serikali ituongezee kiasi cha fedha tufanye shughuli kubwa zaidi,”amesema Fauza Selemani Katibu wa kikundi hicho.

Halmashauri ya Mji Kondoa katika mwaka wa fedha 2020/2021 Halmashauri imetenga jumla ya shilingi milioni 76.8 kwa ajili ya kuvipatia vikundi hivyo.

                    

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.