• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Vikundi 366 Wilayani Kilwa vyanufaika na mikopo ya sh bilioni 1.1

Imewekwa tar.: February 26th, 2021

Na David Langa, Kilwa

Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, iliyopo mkoani Lindi imefanikiwa kuvikopesha vikundi 366 vya wanawake, vijana na walemavu jumla ya shilingi bilioni 1.1 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Renatus Mchau amesema kati ya vikundi 366, vikundi vya wanawake ni 220, vikundi vya vijana ni 134 na vikundi vya walemavu ni 12.

Amesema asilimia 60 ya vikundi vilivyopatiwa mikopo isiyo na riba ni vya wanawake kwasababu wakati mikopo hii inaanza kutolewa wengi walidhani ni mikopo ya wanawake tu na hivyo kusababisha vikundi kama vya vijana kutoshiriki kikamilifu,lakini kadri elimu ilivyoendelea kutolewa makundi mengine kama Vijana na walemavu pia walijitokeza.

Ameongeza kuwa halmashauri yake itaendelea kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili makundi yanayolengwa ili kutekeleza takwa la kisheria kwa kila halmashauri nchini kutenga kiwango hicho kwa ajili ya makundi hayo.

‘’Unajaua hii ni sera ya nchi na hivyo sisi kama halmashauri kila pato linalokusanywa moja kwa moja kuna asilimia kumi ya Vijana ,wanawake na walemavu na mara zote nimehakikisha mikopo hiyo inawafikia walengwa,’’ amesema Mchau.

Mkurugenzi huyo amesema wakati anafika Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa hakukuwa na kikundi hata kimoja cha walemavu ambacho kilikuwa kimefikiwa na mikopo  hiyo kwa miaka mitatu mfululizo.

 “Nilikaa na watu wa idara ya maendeleo ili kujua chanzo cha tatizo hilo ambapo katika bajeti ya mwaka 2018/2019 kwa mara ya kwanza vikundi vitano vya walemavu vilifikiwa na kupewa mkopo wa shilingi milioni 36, hii ilikuwa ni hatua kubwa sana katika halmashauri yetu,’’ amesema.

Miongoni mwa vikundi vilivyonufaika na mikopo hiyo na viwango vya mikopo katika mabano kuwa ni Kikundi cha wanawake cha TUNAWEZA kilichopo kijiji cha Mtoni kata ya Miteja kinachojishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya nazi ambacho kilipewa shilingi milioni tatu, UMACHEKI kilichopo Kipatimu shilingi milioni tatu, Umoja kata ya Masoko shilingi milioni nne, Kikundi cha ushonaji cha TUSONGEMBELE- Somanga kilipewa sh milioni tatu, na kikundi cha vijana cha usafirishaji Bodaboda cha AMANI Kipatimu, kilipewa sh milioni sita

Ameeleza pia kuna kikundi kingine cha KIVINJE JOGGING CLUB kilichopewa  fedha kwa ajili ya uzoaji wa taka katika kata ya Kivinje ambacho kilipewa gari lenye thamani ya shilingi milioni 18.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe.Christopher Ngubiagai ameelezea kuridhishwa na utoaji wa mikopo na kuwahimiza wanufaika kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili wengine pia waweze kukopa.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA ATNO AWAMU YA PILI,2023 September 27, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • DMDP II MBIONI KUANZA KAZI ZA UJENZI

    September 27, 2023
  • SHULE SALAMA MWAROBAINI WA UKATILI DHIDI YA WATOTO

    September 27, 2023
  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.