• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
    • Machaguo Kidato cha 5 & Vyuo

Vijiji 7307 kati ya 12400 vimekwishapatiwa Maafisa kilimo

Imewekwa tar.: December 16th, 2019

Na Majid Abdulkarim

Serikali imesema kuwa katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuna Maafisa Ugani 7307 wanaotoa huduma za kilimo mazao, 3795 wa mifugo na 419 kwa ajili ya uvuvi.

Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt Andrew Komba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa Ugani kutoka mikoa na halmashauri zote za Tanzania bara.

Katika mkutano huo ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, Dkt Komba amesema idadi hiyo ni ndogo kutosheleza mahitaji ya huduma za ugani kwa vijiji vyote nchini ukizingatia kuwa vipo vijiji 12400 nchini.

Akizungumzia kuhusu chama cha Maafisa ugani, Dkt Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Kisekta kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ameelezea umuhimu wa chama hicho katika kuleta muunganiko mzuri kati ya serikali kuu na Maafisa ugani waliopo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Amesema kuwepo kwa chama hicho kutaleta muunganiko mzuri kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na maafisa ugani wa kilimo mazao, mifugo na uvuvi waliopo kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa.

“Kwa muda mrefu sisi kama watendaji wa kuu kwa upande wa serikali kuu na wataalam wa kilimo waliopo katika ngazi ya halmashauri tulikuwa tunakosa plat form ya kukaa pamoja kama hivi ili kujadiliana changamoto mbalimbali zinazotukabili,” amesema Dkt Komba.

Pia amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI itaendelea kutoa ushirikiano katika tasnia ya ugani ili weledi na ufanisi uweze kufanikisha katika kuendeleza sekta ya kilimo nchini.

Kwa upande wake Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amewataka maafisa ugani nchini kukuza kilimo cha kisasa kwa watanzania ili kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na pato la nchi kwa ujumla.

Amesema ni jukumu la maafisa ugani kutoa elimu ya kilimo cha kisasa kwa wakulima ili kuinua uchumi wa nchi kwani kilimo ni mhimili wa uchumi nchini.

Kwa mujibu wa takwimu mbalimbali zilizopo, wakuloima wengi nchini wanalima kilimo cha hasara kwa vile kilimo chao siyo cha kisasa kinachozingatia matumizi sahihi ya ardhi na maji kama awamu ya nne ya program ya kuendeleza sekta ya kilimo nchini inavyoelekeza.

Aidha Waziri Hasunga ameeleza kuwa kutokana na asilimia 80 ya wakulima nchini kiwango chao cha juu cha elimu ni darasa la saba upo umuhimu mkubwa kwa maafisa ugani kuhakikisha kuwa wakulima hao wanapatiwa mafunzo ya ugani ili waweze kuondokana na kilimo cha hasara.

Mhe. Hasunga ameongeza kuwa Kilimo kinachangia asilimia kubwa katika kukuza uchumi wa taifa hivyo niwatake maafisa ugani nyote katika maeneo yenu ya kazi kuwa na mifumo halisi ya wakulima mnao wahudumia na kujua maendeleo halisi ya kila mkulima katika eneo lako la kazi ili kuleta matokeo chanya katika sekta hii ya kilimo.

Mkutano Mkuu wa maafisa Ugani wa kilimo nchini umeratibiwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Wizara za Uvuvi na Mifugo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - TOA July 22, 2022
  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Utekelezaji wa Miradi ya Elimu isimamiwe na kukamilika kwa wakati- Dkt. Msonde

    August 15, 2022
  • UBUNIFU KIVUTIO UMISSETA 2022

    August 15, 2022
  • Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23

    August 14, 2022
  • TARURA KUONGEZA MTANDAO WA BARABARA ZA LAMI KM 1,450, CHANGARAWE KM 73,242’ ENG. SEFF

    August 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.