• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TAASISI ZA SERIKALI KUPITISHWA KWENYE MFUMO WA UKUSANYAJI WA MAPATO WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

Imewekwa tar.: January 9th, 2023

Na. Angela Msimbira, OR-TAMISEMI

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetekeleza agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) la kujengea uelewa kuhusu matumizi ya Mifumo kwa Taasisi zinazofanya kazi na Wizara hiyo.

Hayo yamebainishwa  leo  Januari 9,2023 na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia masuala ya TAMISEMI, Ramadhani  Kailima wakati akifunngua mafunzo ya siku tano kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa ukusanyaji wa Mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wa LGRCS na TAUSI yaliyofanyika Jijini Dodoma.

Amezitaja Taasisi hizo kuwa ni  Ofisi ya Mashitaka, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mamlaka ya Serikali Mtandao (Ega), Polisi , Wizara ya Fedha, Ofisi ya Waziri Mkuu na  Tume ya Utumishi wa Umma

Amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kujenga  uelewa wa pamoja kuhusu Mfumo wa ukusanyaji wa mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCS) ambao unaenda kufungwa na mfumo wa TAUSI  ambao unaenda kuanza kazi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ambapo mpaka sasa Halmashauri 54 zimeanza kuutumia Mfumo huo.

Kailima amefafanua kuwa uelewa wa pamoja wa utumiaji wa mifumo ya TEHAMA katika ukusanyaji wa mapato utasaidia ufuatiliaji, ukaguzi, uchunguzi, kufungua mashitaka na kuiwezesha Serikali kuwa na ushahidi wa kutosha utakaowezesha kupeleka mashitaka na kuwezesha kuchukua hatua stahiki kwa watakaotuhumiwa kukiuka taratibu na miongozo ya ukusanyaji wa mapato kupitia mifumo ya ukusanyaji wa mapato iliyoanzishwa.

Ameeleza kuwa mafunzo hayo yatawawezesha kusikiliza hoja na kuweza kutoa maoni jinsi ya kuboresha mifumo hiyo lengo ni likiwa ni kuhakikisha mapato yanakusanywa kwa kufuata sheria na taratibu za fedha

Naye Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Erick Kitali ameeleza kuwa tangu mwaka 2014/2015, Ofisi ya Rais TAMISEMI ilianza kutumia mifumo ya Kielekroniki katika kukusanya Mapato ambao ulikuwa ukijulikana kama Local Government Revenue Collection System (LGRCS) na umetumika kwa muda wa miaka saba lakini kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia ,  Sera mbalimbali na mahitaji ya watumiaji imeonekana kuna umuhimu wa kuboresha mfumo huo.

Aidha amesema katika bajeti ya Mamlaka za Serikali za Mitaa ya mwaka 2022/23 imeongezeka kutoka  bilioni 860 hadi  trilioni 1.01 kutokana na ongezeko hilo Serikali iliona umuhimu wa kuboresha mifumo na kuanzisha mfumo wa TAUSI.


Matangazo

  • Majina ya waliopata vibali vya Uhamisho wa Kawaida na Kubadilishana (Januari - Julai 2023) October 14, 2023
  • DMDP Documents October 12, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGIWA SHULE CHAGUO PILI MWAKA, 2023 October 04, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vyuo vya Serikali vyatakiwa Kujiendesha Kibiashara

    December 08, 2023
  • WATUMISHI WANOLEWA UTEKELEZAJI MRADI WA TACTIC

    December 05, 2023
  • TUZO ZA UBORA WA ELIMU MWAKA 2023

    December 04, 2023
  • OR - TAMISEMI

    December 04, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.