• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

SERIKALI YATOA MIL. 800 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA - MALINYI

Imewekwa tar.: May 23rd, 2024



Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kiasi cha Shilingi Milioni 800 kwa ajili ya ukarabati wa barabara za Igawa - Malinyi, Lugala - Misegese, Njiapanda - Malinyi zilizoatbiriwa na kusambaa kwa mto furua na kuharibu barabara inayohudumiwa na TANROADS pamoja na zile zinazohudumiwa na TARURA.


Kutokana na changamoto hiyo wananchi wa Malinyi hawana mawasiliano kwa kuwa barabara zinazounganisha wilaya hiyo pamoja na ile ya kuelekea Ifakara zimeharibika vibaya na kusabisha adha kubwa kwa wananchi hao.


Ni siku ya pili ya ziara ya Waziri Mchengerwa akiwa mkoani Morogoro ambapo Mei 21, 2024 yupo Wilayani Malinyi na kukagua miundombinu ya barabara za Mji wa Malinyi na kujiridhisha kuwa miundombinu hiyo imeharibiwa vibaya na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni na kwa niaba ya Dkt. Samia Suluhu Hassan Waziri Mchengerwa amesema fedha za dharura zipelekwe haraka kurejesha mawasiliano ya barabara ya Kichangani.


Hata hivyo, amuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Morogoro Eng. Emmanuel Ndyamukama kutangaza zabuni hiyo ndani ya wiki na mkandarasi atakayepatikana aanze kujenga barabara hiyo haraka huku mawasiliano yakiendelea kufanyika na Wizara ya Ujenzi ili kuona namna ya kujenga Daraja la Mto Furua lilichukuliwa na maji na kukata mawasiliano ya barabara hiyo.


‘nimeshawaelekeza watendaji wa Wizara yangu Naibu Katibu Mkuu anayesimamia miundombinu ambaye ndiye anayewasimia  TARURA kuleta fedha hizo kwa Meneja wa TARURA mkoa amesema wanahitaji Mil. 800, nimewapa wiki mbili nataka Barabara hii ipitike…’’Amesema Waziri Mchengerwa.


Sambamba na hilo, Mhe. Mohamed amewataka viongozi wa ngazi zote kushirikiana  na kuwa wabunifu ili kuwatumikia wananchi kikamilifu huku akiwaagiza Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara kuitisha vikao vya dharura na wataalamu wote ndani ya Mikoa yao pamoja na wadau wa Maendeleo ili kujadili na kurejesha mawasiliano ya Barabara zilizoharibiwa na mafuriko.


Katika hatua nyingine, Waziri Mchengerwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha za dharura kwa lengo la kukarabati miundombinu mbalimbali ikiwemo Barabara kutokana na athari za mafuriko yaliyotokea maeneo mbalimbali hapa nchini.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.