• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali yatenga Sh. bilioni 22.5 kununua vifaa tiba na ajira za watumishi wa afya

Imewekwa tar.: April 6th, 2021

Na Mwandishi wetu, Dodoma

Serikali imetenga shilingi bilioni 22.5 katika mwaka ujao wa fedha kununua vifaa tiba na kutoa ajira kwa watumishi wa kada ya afya ili kuweza kutosheleza mahitaji ya hospitali mpya za wilaya na vituo vya afya vipya 487 vilivyojengwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Akijibu swali la Mbunge wa Vwawa Mhe.Japhet Hasunga aliyetaka kujua ni lini serikali itapeleka vifaa tiba na watumishi wa afya kwenye kituo cha afya cha Ilula ambacho ujenzi wake ulikamilika miaka miwili iliyopita, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Mhe.Dkt Festo Dugange amesema kuwa serikali inatambua uhaba wa vifaa tiba na watumishi wa afya katika hospitali na vituo vya afya vilivyojengwa hivyo imetenga kiasi hicho cha fedha ili kununua vifaa tiba na kuajiri watumishi.

Amesema sambamba na kazi inayoendelea ya ujenzi wa vituo vipya vya afya, Ofisi ya Rais TAMISEMI inatarajia kuomba takribani shilingi bilioni 22.5 kwa ajili ya kuhakikisha vituo vyote vya afya vilivyojengwa na hospitali zote za halmashauri zinapatiwa vifaa tiba na hili litafanywa kwa kushirikiana na mapato ya ndani ya halmashauri.

“ Lakini pili mpango upo wa kwenda kuajiri watumishi ili kuwapeleka katika vituo hivi, hivyo naomba kumuhakikishia Mhe.Hasunga na wabunge wengine wenye hoja kama hizo kuwa serikali inazo takwimu za kutosha za mahitaji ya vifaa tiba katika vituo vyetu vya afya na mahitaji ya watumishi katika vituo hivyo, na itaajiri watumishi kadri ya upatikanaji wa fedha,” amesema.

Mapema, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoa wa Songwe Mhe. Neema Gerald Mwangamila ambaye alitaka kujua ni lini Hospitali mpya ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma inatarajia kuanza kutoa huduma, Mhe.Dkt Dugange amesema hospitali hiyo mpya itaanza kutoa huduma za awali kwa wagonjwa wa nje ifikapo tarehe  27 aprili, 2021.

Amesema tayari serikali imetenga katika bajeti ijayo shilingi bilioni moja kwa ajili ya ujenzi na shilingi milioni 500 kwa ajili ya vifaa tiba.

Akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe Mhe.Joseph Mkundi ambaye alitaka kujua ni lini kituo kipya cha afya cha Nakatunguru ambacho kimekamilika kujengwa kitapelekewa vifaa tiba na watumishi, Mhe. Dkt Dugange amesema tayari serikali imekwishapanga kupeleka watumishi wachache na vifaa tiba vilivyopo katika kituo hicho lakini katika mwaka wa fedha ujao imetenga fedha za vifaa tiba na kupeleka watumishi watakaoajiriwa katika kituo hicho.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.