• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali yaridhishwa na Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mkalama yatoa Agizo kwa Watumishi

Imewekwa tar.: July 18th, 2022

Na Fred Kibano Mkalama Singida

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amerishishwa na ujenzi wa jengo na ubora wake Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mkalama mkoani Singida lililojengwa na Wakala wa Majengo (TBA) baada ya kulizindua ambalo limekamilika kwa asilimia 100.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pia amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Ofisi hiyo kutawaletea wananchi huduma karibu kwani awali wananchi walikuwa wakiipata huduma ya utawala katika Wilaya jirani  ya Iramba.

Aidha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwa watumishi kuacha kukaa ofisini siku zote za wiki na badala yake watenge siku tatu kati ya sita kwenda vijijini kuwaelimisha wananchi kuhusu mambo yanayofanywa na Serikali pamoja na kupokea kero zao na kuzifanyia kazi.

“Mkurugenzi hili ulichukue, kuanzia sasa watumishi wasikae ofisini wiki nzima, waende vijijini kukutana na wananchi kwa wiki yenye siku sita, siku tatu zote waende vijijini kukutana na wananchi kuwaelimisha nini Serikali inafanya na itafanya nini na wasikilize changamoto zao na kuzifanyia kazi” alisema Mhe. Majaliwa.  

Awali akitoa taarifa ya ujenzi wa Mradi wa jengo la Mkuu wa Wilaya Mkalama Meneja Ujenzi Wakala wa Majengo (TBA) Mhandisi Khadija Salum Abdala amesema mradi wa jengo hilo unajumla ya thamani ya shilingi bilioni 1.3 lakini mpaka sasa jumla ya shilingi Bilioni 1.2 zimetumika na kukamilisha mradi huo kwa asilimia 100.

Aidha, Mhandisi Khadija Salum Abdala amesema ujenzi wa jengo hilo ulianza mwaka 2018, lina jumla ya Ofisi 19 na ukumbi wa mikutano unaoweza kuchukua takribani watu 100, majiko mawili, stoo ya kutunza kumbukumbu na pia miundombinu yake imezingatia watu wenye mahitaji maalum ambapo moja ya faida yake itakuwa ni kutoa huduma kwa wananchi kwa.

Awali akitoa maelezo yake Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Isack Mtinga ameishukuru Serikali kwa kuwapatia miradi mbalimbali kwani kwa kipindi chake tu Wilaya imepokea shilingi Bilioni mbili za barabara lakini pia ameiomba Serikali kuwajengea barabara ya Mkalama hadi Iguguno kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 42 ili kusaidia shughuli za kiuchumi wilayani humo na mikoa ya jirani.

Akitoa salamu za Wizara kuhusu kazi za Serikali zilizofanyika Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema katika sekta ya afya pekee Wilaya ya Mkalama kwa baadhi ya miradi imepokea shilingi Bilioni 2.3 kwa hospitali ya Wilaya, milioni 300 ujenzi wa jengo la Dharura, milioni 350 kwa ajili ya vifaa tiba na mashine ya mionzi na pia jumla ya watumishi 20 wa kada ya afya wameajiliwa Wilayani humo.




Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.