• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali yafanya Mapitio ya Sera ya Ugatuzi wa Madaraka

Imewekwa tar.: July 12th, 2018

SERIKALI imeanza kufanya uchambuzi wa kina juu ya kazi mbalimbali za serikali zinazofanyika katika dhana ya ugatuzi wa madaraka kwa lengo la kuboresha sera mpya ya ugatuzi wa madaraka ili iwe kwenye mfumo wa kisheria.

Hayo yamezungumzwa leo na Naibu Katibu Mkuu elimu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Tixon Nzunda kwenye warsha ya mapitio ya sera ya ugatuaji wa madaraka na majukumu ya Wizara, Idara pamoja na Wakala wa serikali jijini Dodoma.

“Kazi kubwa inayofanyika hapa ni kuboresha mfumo huu uwe mfumo wa kisheria, mfumo ambao upo ndani ya sera lakini  pia uweze kueleweka katika ngazi zote za serikali” Alisema Naibu Katibu Mkuu Nzunda.

Awali akifungua warsha hiyo Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Profesa Faustine Kamuzola amewatoa hofu wananchi na kusema kuwa hakutakuwa na  ukinzani wowote kati ya sera mpya ya ugatuzi wa madaraka inayotarajiwa kutungwa pamoja na hii inayotumika kwa sasa.

“Hakuna ukinzani, tunataka kuwa na sera ya ugatuzi wa madaraka ambayo inazingatia mazingira halisi ya hivi sasa katika suala zima la uchumi kwa kuzingatia kuwa jamii yetu imedhamiria kusonga mbele haraka na kufikia uchumi wa kati kwa muda mfupi” Alisema Profesa Kamuzola na kuongeza.

“Sera hii ya sasa imeleta mafanikio mengi kwani wananchi hususani waliopo ngazi ya chini wamefahamu majukumu yao, lakini pamoja na mafanikio hayo tunataka kuangalia pia changamoto zilizojitokeza ili kuzifanyia marekebisho kwa lengo la kuimarisha huduma kwa jamii”

Aidha Profesa Kamuzola ameshauri kuwepo kwa mkakati  wa mawasilianao kuanzia ngazi za chini za utendaji ili kila mmoja kwa nafasi yake afahamu kwa undani dhana halisi ya sera hii ili kuweza kufanikisha malengo yaliyokusudiwa.

Mshauri na Mtafiti kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Aloyce Maziku amesema ushiriki wa chuo hicho katika mapitio ya sera mpya unatokana na wao kushiriki kwenye utungaji wa sera mbalimbali, tafiti na maboresho kwenye ngazi ya Serikali za Mitaa.

“Sisi kama Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na wadau mbalimbali tutaangali changamoto zilizopo kwa lengo la kuboresha sera mpya ijayo ambayo inalenga kutatua  changamoto za sasa na kuzingatia mahitaji za sasa hususani sera ya uchumi wa viwanda” Alisema Maziku.

Mapitio ya sera ya ugatuaji wa madaraka ya mwaka 1998 yanafanywa na Taasisi ya DEGE kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Mzumbe ambapo Taasisi ya REPOA inafanya mapitio ya majukumu ya Wizara, Idara pamoja na Wakala wa Serikali.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.