• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali ''Umakini ni muhimu Tathmini ya Mradi wa DMDP''

Imewekwa tar.: March 7th, 2018

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Mussa Iyombe amewataka washiriki wa kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam “DMDP” kuwa makini katika kuchambua taarifa za mradi zitakazowasilishwa katika kikao hicho.

Akisoma hotuba kwa niaba ya Katibu Mkuu katika kikao hicho Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Theresia Mbando amesema kuwa tathmini hiyo inayofanyika kwa sasa itasaidia kutambua kwa upana wake huku ikilenga vipengele vyote vinne ambavyo vimelengwa kutekelezwa katika mradi huo.

Wasimamizi wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam katika Benki ya Dunia

 wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa mada mbalimbali katika 

kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa DMDP

“Mradi huu Mkubwa wenye lengo la kuboresha Jiji la Dar es salaam ili lizidi kuwa bora katika Sekta ya miundombinu, usafiri mjini, usalama, makazi bora sambamba na kujenga uwezo wa Kitaasisi pamoja na mifumo stahiki na ya kutosha kutunza kumbukumbu na takwimu itakayosaidia katika Ukusanyaji wa mapato ndio ambao tunajadili hapa leo kuangalia namna wataalamu wetu walivyo simamia na nini kimefanyika kwa kiasi gani na kwa kiwango gani” alisema Bi.Mbando.

Aidha Bi. Mbando aliongeza kuwa wanategemea mawazo na  hoja zenu za msingi katika kujenga na kuboresha mipango iliyopo ya Utekelezaji wa mradi huu, ninyi kupitia Kikao hiki mtaboresha mipango iliyopo, mtatukosoa, mtarekebisha na mtatoa mwanga wa njia gani sahihi na bora ya kufuata ili mradi uweze kutekelezwa kwa mafaniko makubwa na kutatua shida za wananchi.

Katika Kikao hicho mwakilishi wa Benki ya Dunia ambaye pia ndiye Msimamizi Kiongozi wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam kutoka Benki ya Dunia Ndg. Erick Dickson amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wameleta Mradi utakaobadilisha muonekano wa Jiji la hilo.

Aliongeza kuwa kinachotakiwa ni kuangalia kwa Makini namna ambavyo mradi huo unavyotekelezwa katika kipindi hiki cha Nusu Mwaka yale yaliyopangwa yametekelezwa, malengo ya mradi yamefikiwa, Wananchi wamenufaikaje kupitia mradi huo na je hakuna athari zozote za kimazingira zilizotokea bila kusahau ushiriki wa wananchi upo kwa kiasi gani.

Katika awamu ya kwanza ya mradi huu ambao unatekelezwa kwa kipindi cha 2016 -2020 utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 300 ambazo ni Fedha za Mkopo kutoka Benki ya Dunia.

Aidha Shirika la maendeleo la Nchi za Nordic litatoa ruzuku ya dola za kimarekani milioni 500 kwa ajili ya kukabili changamoto za mabadiliko ya Tabia nchi

Wakati huo huo Serikali ya Uingereza kupitia Shirika la maendeleo la DFID linachangia ruzuku ya Paundi  milioni 25 kwa ajili ya kuboresha Bonde la Mto Msimbazi na Serikali ya Tanzania inachangia dola za kimarekani milioni 25 kwa ajili ya ulipaji wa fidia kwa wananchi wanaoathirika na mradi huo.

Kikao hicho cha Siku tatu kinahusisha wataalamu kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wasimamizi wa mradi kutoka Benki ya Dunia, Wataalam kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Dar es salaam pamoja na washauri wa mradi kutoka kampuni mbalimbali zinazofanya kazi za mradi huu.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.