• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Sekondari ya Anna Abdallah ya mjini Masasi yapongeza

Imewekwa tar.: November 28th, 2021

Na Fred Kibano, Masasi Mtwara

Serikali imepongeza ujenzi wa shule ya sekondari Anna Abdallah unaoendelea katika Halmashauri ya Mji Masasi wa vyumba vinne vya madarasa ambavyo vitatumika kwa ajili ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mapema mwaka 2022.

Akiongea baada ya ukaguzi huo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema matarajio ya Serikali ni kuwa ifikapo Desemba 15 mwaka huu ni lazima madarasa yote yawe yamekamilika na kuwa tayari kwa matumizi kwani hakutakuwa na chaguo la pili hapo mwakani kama ilivyozoeleka.

“kwanza niwapongeze kazi inaonekana, viwango vyenu vya ujenzi wa madarasa Halmashauri ya Mji Masasi mmefanya vizuri na mpaka desemba 15 mtakuwa mmemaliza, nisisitize sasa mnapokwenda kukamilisha kazi hii tuendelee kuzingatia thamani ya fedha na viwango vionekane ”

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Elias Mtirungwa amesema halmashauri yake inatekeleza mpango wa maendeleo ya ustawi wa jamii na mapambano ya UVIKO 19 ambapo alipokea kiasi cha shilingi milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 35 vya madarasa kwenye shule 9, milioni 80 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum Masasi, milioni 440 kwa ajili ya vyumba viwili vya madarasa kwenye shule shikizi ya Mkajamila ambapo utekelezaji wake unaendelea vizuri.

“utelekelezaji wake na hali ilivyo hadi kufikia sasa, ni kuwa madarasa 21 yapo katika hatua ya upauaji, madarasa 16 yapo katika hatua ya umaliziaji, bweni la wanafunzi lipo katika hatua ya msingi na matarajio ni kukabidhi madarasa ifikapo tarehe 12 Desemba, 2021”

Akisoma taarifa ya shule ya sekondari Anna Abdalla, Mkuu wa shule hiyo Emanuel Kabale amesema shule yake ilipokea kiasi cha shilingi milioni 80 kwa jaili ya kujenga vyumba vinne vya madarasa na hatua waliyofikia ni hatua ya upauaji na wanatarajia kukabidhi mradi mapema tarehe 8 Desemba mwaka huu.

Aidha, amesema fedha iliyotumika mpaka sasa ni shilingi 70,917,736.44 na fedha kiasi cha shilingi 9,082,263.56 ni kwa ajili ya kazi ndogondogo zilizobaki na samani za madarasa zimekwisha nunuliwa.

“tunahitaji kupata madarasa manne yenye viti na meza hamsini kwa kila darasa na hivyo kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa, viti na meza kwa wanafunzi.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.