• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

RC Ruvuma Awakumbuka Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum

Imewekwa tar.: March 9th, 2018

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme (kulia) akikabidhi magodoro 
kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ruhira Songea Peter Manjati 
wakati wa ziara yake shuleni hapo jana.

Na. Revocatus Kasimba, Mkoani Ruvuma RS.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa msaada wa magodoro ishirini na nne kwa ajili ya kuboresha mazingira ya kuishi wanafunzi wenye ulemavu wa  shule ya msingi Ruhila iliyopo Songea.

Msaada huu ameutoa kwa kukabidhi magodoro husika kwa mkuu wa shule ya msingi Ruhila mchanganyiko Peter Manjati na kuagiza kuwa magodoro hayo yatumike kwa malazi ya wanafunzi walemavu 

Mkuu huyo wa Mkoa alisema ameguswa kuchangia magodoro kutokana na ziara aliyoifanya shuleni hapo mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu na kujionea mazingira yasiyoridhisha ya malazi kwenye mabweni ya wanafunzi wenye ulemavu

“Nilipotembelea mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu kuja kuwaona watoto wenye uhitaji maalum hapa Ruhila mwalimu aliniomba nisaidie kuchangia magodoro  kutokana na yaliyokuwepo kuwa yamechakaa sana” alisema Mndeme

Aliongeza kusema kuwa aliguswa mno na hali ya uchakavu wa magodoro  na bweni wanayotumia wanafunzi wenye ulemavu hivyo akaamua kutafuta wapi pa kupata  msaada.

Mndeme katika kuhakikisha anafanikisha upatikanaji wa magodoro haya aliwasiliana na Kampuni ya Vitaform ya Dar es salaam na kuwasilisha ombi ambalo lilikubaliwa na sasa amepatiwa msaada huu

“Ninaishukuru kampuni ya Vitaform  kwa msaada  wao uliowezesha watoto hawa walemavu wapate sehemu nzuri  ya kulala itakayowezesha kusoma vema” Mndeme alisisitiza

Ameomba wadau na wafadhili wengine kujitokeza kusaidia wanafunzi wenye ulemavu kwani bado wanahitaji vifaa vya kujifunzia,mavazi,mafuta kwa albino,miwani na magodoro

Mkuu wa mkoa amewataka walimu na walezi wa watoto wenye ulemavu kusimamia vema hali za watoto wenye ulemavu na kuyatunza magodoro waliyoyapata ili yadumu kwa muda mrefu na kunufaisha wanafunzi wengi zaidi.

Shule ya Msingi Ruhila iliyopo Manispaa ya Songea ina wanafunzi wenye mahitaji  maalum wapatao 51 ambao wanaishi kambini  kwa sasa.

Serikali kwa upande wake inajenga mabweni matatu na kukarabati  majengo ya madarasa mawili ili kuweka mazingira wezeshi kwa wanafunzi wenye ulemavu kujifunza.

Mkuu wa mkoa ametoa wito kwa meneja wa wakala wa majengo mkoa wa Ruvuma Edwin Nnunduma kuhakikisha  wanakamilisha kazi ya ujenzi ndani ya wiki mbili zijazo kwani muda waliopewa tayari umekwisha.

Wanafunzi wenye ulemavu wa shule ya msingi Ruhila ya Songea wakisikiliza maelezo ya mkuu
 wa mkoa huo (hayupo pichani) wakati alipowatembelea jana kutoa msaada wa magodoro ishirini na nne
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiwakabidhi wanafunzi wa shule 
ya walemavu Ruhila Songea msaada wa magodoro alipotembelea shule hiyo

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.