• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Nusura shilingi bilioni 1.2 ziondoke na Mkurugenzi Malinyi

Imewekwa tar.: August 11th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ameiagiza timu ya wataalam wa ufuatiliaji wa fedha za miradi kutoka OR-TAMISEMI kufanya uchunguzi wa matumizi ya shilingi bilioni 1.2 zilizotumika kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro.

Ametoa maagizo hayo leo wakati akiongea na wananchi wa Halmashauri hiyo kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro.

Amesema kuwa wataalam hao watakwenda kufanya uchunguzi wa kina na ufuatiliaji wa ununuzi wa vifaa  vya ujenzi uliofanyika katika Ujenzi wa Hospitali hiyo lengo likiwa ni kuhakikisha  matumizi ya fedha zilizotolewa na Serikali yanaendana na majengo yaliyojengwa.

Amesema kuwa endapo itabainika kwamba kuna makosa yalifanyika hatua zitachukuliwa lakini baada ya kujirizisha kwa kuwa taarifa ya awali inaonyesha fedha hizo zimeliwa na Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi.

“Taarifa ya awali inaonyesha kuwa shilingi bilioni 1.2 zilizotumika kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Malinyi hazikufuata taratibu, ndio maana OR-TAMISEMI inakuja kujiridhisha zaidi kabla ya kuchukua hatua” Anasisitiza Mhe. Jafo.

Wakati huohuo Mhe. Jafo amesema kuwa hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali hiyo na ametoa mwezi mmoja kwa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanamaliza ujenzi kwa asilimia 100.

“Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi sijarizishwa na kasi ya ujenzi wa hospitali hii hakikisheni mnafanyakazi usiku na mchana ili ifikapo tarehe 30/9/2019 ujenzi uwe ukamilika” Anasisitiza Mhe Jafo

Ameendelea kufafanua kuwa pamoja na maelezo aliyopatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo bado wameshindwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali hiyo kwa wakati jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo katika Halmashauri hiyo

Amesema kuwa utaratibu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa sasa ni kuwatoa viongozi na watumishi wote ambao wanashindwa kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo yao na kukwamisha juhudi za Serikali za kuleta maendeleo kwa jamii.

Mhe Jafo ameendelea kusema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi ni eneo ambalo limejaa makundi jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo na kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri hiyo hivyo amewataka viongozi kushirikiana na kuleta mabadiliko.

Amesema kuwa inasikitisha kuona kwamba katika utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu ya afya Mkoa wa Morogoro bado ni tatizo ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi jambo ambalo halileti picha nzuri kwa jamii.

Mhe.Jafo ameuagiza Uongozi wa Halmashauri hiyo kufanyakazi kama timu na kuacha tofauti zao ili kuleta maendeleo katika Halmashauri hiyo.

Aidha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Bw. Mussa Mnyeti amemuhakikishiwa Mhe. Jafo kuwa shilingi bilioni 1.2 zimetumika kwenye manununuzi ya vifaa vya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Malinyi na kumuhakikishia kuwa vifaa hivyo tayari vimeshanunuliwa kwa ajili ya kukamilisha ujenzi huo.

Na. Angela Msimbira   - Malinyi, Morogoro




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.