• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Nitavunja Mabaraza ya Madiwani Yenye Mivutano inayokwamisha Maendeleo’ Mchengerwa

Imewekwa tar.: May 22nd, 2024



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi.


Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege katika Halmashauri ya Mji Ifakara na kubaini kuwa imeshindwa kukamilika kutokana na mivutano ya kisiasa uliotokea mara tu fedha za ujenzi wa hospitali hiyo zilipofika.


Amesema mivutano ya kisiasa ya madiwani husababisha miradi mbalimbali ya maendeleo kusimama na kutokamilika kwa wakati na kusisitiza kuwa 

atachukua hatua mara moja ikiwa ni pamoja na kuvunja Baraza la Madiwani la halmashauri husika.


Aidha, Mchengerwa ametumia fursa hiyo kuwaagiza watendaji katika halmashauri nchi nzima kuacha mivutano na wanasiasa na kusababisha ucheleweshaji wa miradi ya maendeleo. 


Amesisitiza kuwa pia itampasa kuwachukulia hatua watendaji hao waliohusika ikiwa ni pamoja na kuwashusha madaraka yao.

"Mnapovutana wanasiasa na watendaji, watendaji wanashindwa kufanya maamuzi, mkifanya hivyo mjue mnawanyima haki wananchi kupata huduma, sasa sitaki kusikia mivutano kwenye mabaraza ya madiwani." 


"Popote nitakaposikia kuna mivutano kama Waziri mwenye dhamana nitavunja Mabaraza ya Mawdiwani kwa maslahi mapana ya wananchi," amesema. 


Waziri Mchengerwa ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wakurugezi wa halmashauri zote nchini kushungulikia migogoro inspoibuka kwenye halmashauri zao na kama wameshindwa  kuumaliza anapaswa kutoa taarifa haraka katika Ofisi ya Rais- TAMISEMI. 


" Kunapoibuka migogoro na mivutano wakurugenzi mnapaswa kuishughulikia haraka na mkishindwa basi repoti Ofisi ya Rais-TAMISEMI na sio kukaa kimya na kuendelea kuchelewesha maendeleo kwa wananchi." 


"Mahali popote nitakapobaini naye mtendaji ameshindwa kumaliza mgogoro na hajawasilisha mgogoro huo Ofisi ya Rais Tawala nitamuondoa kwa sababu atakuwa ameshindwa kutumia madaraka yake ipasavyo na hawasaidiii wananchi wa eneo lake," alisisitiza Waziri Mchengerwa.


Awali, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima alimuomba Waziri Mchengerwa kumaliza mgogoro uliopo uliochangia kutokamilika kwa hospitali hiyo ambayo Serikali imetoa Sh bilioni 1.5 lakini ujenzi umeshindwa na kushindwa kukamilika kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita.

https://www.voiceofbongo.co.tz/2024/05/mabaraza-ya-madiwani-yenye-mivutano.html

https://www.instagram.com/p/C7QyEyzKyol/?igsh=ZzZlNHdyZW9kdWd6

https://www.instagram.com/p/C7Qu28AqQe4/?igsh=eWQ2czk4cmhtZGVp

https://x.com/Jambotv_/status/1793173429429911770?t=agMsDXJ3tIUVv5NIyw1Oyg&s=19

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.