• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kikaangoni

Imewekwa tar.: June 2nd, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sumbawanga  kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua kwa kutokusimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri hiyo.

Akiongea na Viongozi wa Mkoa wa Rukwa kabla ya kuanza ziara ya kikazi  ya kukagua maendeleo ya miradi inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoani  Rukwa amesema haingii akilini kuona Halmashauri inakuwa na upotevu mkubwa wa mapato lakini hakuna hatua zozote zinazochuliwa dhidi ya watumishi wanaoshiriki upotevu huo.

Amesema kuwa sababu kubwa inayosababisha Halmashauri nyingi kutokukusanya mapato kikamilifi ni kutokana baadhi ya viongozi kutokuwa makini katika kusimamia na kufuatilia kwa karibu ukusanyaji wa mapato  kwa baadhi ya watumishi ambao si waadilifu .

Mhe. Jafo anafafanua kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ni miongoni mwa halmashauri ambayo imekuwa na upotevu mkubwa wa makusanyo ya mapato jambo ambalo huzorotesha  maendeleo kwa jamii.

“Mkurugenzi anawajibu wa kusimamia kikamilifu suala la ukusanyaji wa  mapato katika Halmashauri yake, inasikitisha kuona bado baadhi ya watumishi ambao si waaminifu wanakusanya fedha na kuziweka mifukoni na mkurugenzi hachukui hatua za kinidhamu, hii ni kinyume na utaratibu. amesisistiza Mhe. Jafo  

Mhe. Jafo amesema kuwa inasikitisha kuona baadhi ya watumishi katika Halmashauri hiyo kutokuwa waaminifu katika ukusanyaji wa Mapato jambo ambalo fedha nyingi zinazokusanywa hazifiki katika Halmashauri husika na kusababisha kutofikia malengo waliojipangia katika Halmashauri hisoka

Wakati huohuo Mhe. Jafo  amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha Hospitali 67 zilizojengwa na kukamilika zinaanza kutoa huduma kwa jamii  kuanzia tarehe 8/6/2020

Amezitaka Hospitali hizo za Wilaya kuhakikisha zinaanza kutoa huduma kwa jamii kwa upande wa wagonjwa wa nje na mama na mtoto ili kuwapunguzia adha wananchi wanaotembea muda mrefu kutafuta huduma za afya nchini.

“Serikali imetumia gharama kubwa kujenga majengo mazuri nay a kuvutia lakini mengi bado hajaanza kutoa huduma, jambo hili halikubaliki kwani lengo la Serikali ni kutoa huduma bora za afya kwa jamii, naagiza Hospitali hizo zianze ktoa huduma haraka ili kuwasaidia wananchi wanaoteseka kufuata huduma hizo mbali na maeneo wanyoishi.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Jafo yupo kwenye ziara ya siku moja kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mkoa wa Rukwa ambapo ataweka jiwe la msingi katika Stendi ya Mabasi iliyoko Katumba Sumbawanga, maegesho ya  Malori Utengule na ufunguzi wa barabara zenye urefu wa km 11.577 kupitia mradi wa uboreshaji miji.

Angela Msimbira SUMBAWANGA

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.