• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

MEWAKA kuendelea kuboresha mbinu za ujifunzaji na ufundishaji

Imewekwa tar.: September 19th, 2022

Asila Twaha, TAMISEMI

Serikali imesema kuwa, itaendelea kuboresha  miundombinu ya elimu katika ujifunzaji na  ufundishaji kwa kuhakikisha Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) yanafikia lengo.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Grace Magembe anayeshughulikia afya amebainisha hayo  Septemba 19, 2022 Jijini Dodoma  wakati akifungua Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) kwa wawezeshaji wa Kitaifa lengo likiwa kuwajengea uwezo wakati watakapokwenda kutekeleza majukumu yao katika  ngazi ya Mikoa na Halmashauri.

Ameeleza kuwa Serikali  imeendelea kuboresha vituo vya walimu (TRCs) vitakavyotumika kutoa Mafunzo endelevu ya Walimu Kazini pamoja na kununua vifaa vya TEHAMA vitakavyosaidia katika uendeleshaji wa mafunzo hayo.

“Mafunzo haya yamepangwa kutolewa katika ngazi za shule na vituo vya walimu ambapo walimu wote wanaelekezwa kushiriki kikamilifu” amesisitiza Dkt. Grace

Mafunzo hayo  yamelenga  kufikia Halmashauari 40 ambazo hazijapatiwa mafunzo.

Aidha, Dkt. Grace amesema  Halmashauri 19 kati 40 zilizobaki katika Mikoa ya Kigoma, Tanga, Simiyu, Mara, Rukwa, Singida na Dodoma zitapatiwa mafunzo kwa walimu wa shule ya msingi kupitia programu ya Shule Bora.

Amewataka viongozi wanaosimamia mpango huo na wawezeshwaji kusimamia kikamilifu mpango huo  ambao Serikali kwa kushirikiana na wadau wameuwekeza.

Amewataka  kuhakikisha kuwa, mafunzo hayo yanakuwa na tija na endelevu kwa walimu.

Pia, amewaagiza walimu wote nchini kushiriki kikamilifu mafunzo hayo katika jumuiya za kujifunza kwa ngazi ya shule na vituo vya walimu.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)Dkt. Aneth Komba ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuwawezesha walimu kwa kuwapatia mfunzo na kueleza kuwa, mafunzo hayo yatatoa nafasi ya walimu kuweza kupata mbinu tofauti za kufundishia na kuweza kuwaelekeza jinsi ya kuweza kusoma kwa maktaba mtandao lakini pia kuweza kutumia njia ya  “Learning Management System (LMS) ambayo itawawezesha kupata nyenzo tofauti za kufundishia kwa kutumia njia ya kieletroniki.

Mwenyekiti wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini Bi. Modesta Ng’aida(Mkufunzi chuo cha Ualimu Butimba) kwa niaba ya wawezeshwaji hao amesema, mafunzo hayo watakayopata yatakuwa ni mwongozo wa kuwawezesha kwenda kuwa mabalozi wazuri katika maeneo watakao elekezwa kuenda kuyatekeleza.

“Tunaihakikishia Serikali yetu hamjakosea sisi tunaowakilisha wenzetu tutahahakikisha tunaifikisha elimu tuliyoipata kwa manufaa ya watoto wetu ambao ndio wanafunzi wetu” amesema Ng’aida

Pia, Dkt. Grace amtoa wito kwa  walimu kuendelea kutoa elimu ya shuleni na duniani  kwa kujua kuwa wao  wamepewa jukumu kubwa la kuaminika.

“Walimu mnajukumu kubwa sana tusaidianeni na wazazi ili kuwasimamia  watoto kwa kuwaongoza katika elimu ya shule na duniani ili watoto wetu wawe ni wenye tabia njema"

amesema Dkt. Grace


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.