• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Makatibu Tawala wasaidizi na wachumi Sekretarieti za Mikoa watakiwa kuchambua na kupitia mipango ya Bajeti ya Halmashauri

Imewekwa tar.: June 11th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameaagiza Makatibu Tawala Wasaidizi na   wachumi wa Sehemu za Mipango na Uratibu katika Sekretarieti za Mikoa nchini kuhakikisha wanapitia, kuchambua na kutoa ushauri kwenye mipango ya bajeti za maendeleo za Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Akiongea na viongozi hao   leo Jijini Dodoma Waziri Ummy amesema jukumu la Makatibu Tawala wasaidizi  na wachumi  ni kuhakikisha wanapitia na kuchambua kwa umakini mkubwa Mipango ya bajeti za maendeleo zinazoletolewa  na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuangalia vipaombele vya Serikali katika kutatua kero za wananchi.

“Kazi yenu si ya kukusanya taarifa za bajeti zinazoandaliwa na  Mamlaka za Serikali za Mitaa pekee, bali mnawajibu wa kuzichachambua kwa weledi  kwa kungalia vipaombele vya Serikali vya kutatua changamoto za wananchi katika sekta ya elimu, afya, barabara na mikopo ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu,” amesisitiza Waziri Ummy

Waziri Ummy amesema kuwa lengo la Serikali ni kuhakikisha fedha zinazokusanywa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatumika katika kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo inatatua changamoto za wananchi.

Amewaagiza kuhakikisha Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambapo Halmashauri zinazokusanya zaidi ya shilingi Bilioni 50 zinatakiwa kutenga asilimia 60 ya fedha hizo kwa miradi ya Maendeleo wakati Halmashauri zinazokusanya chini ya bilioni 50 zinatakiwa kutenga asilimia 40.

Amesema kuwa serikali inataka kuona Halmashauri zote nchini zinatenga fedha  za mapato ya ndani kwa ajili ya utekelezaji wa  ujenzi wa vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa vitendanishi na dawa, ujenzi wa  madarasa, ununuzi wa madawati, ujenzi wa mabweni, hivyo ni jukumu la makatibu tawala hao kuhakikisha mipango hiyo inaingizwa kwenye Mipango ya bajeti za Mamlaka za Serikali za Mitaa.

“Unapitishaje Bajeti ya Halmashauri wakati haina bajeti ya ujenzi wa madarasa, ununuzi wa dawa na vitendanishi, ujenzi wa shule, mabweni na madawati, hii haikubaliki kasimamieni na kuhakikisha bajeti hizo zinakidhi mahitaji ya wananchi.” amesema Ummy.

Waziry Ummy amewasisitiza Makatibu Tawala Wasaidizi wote nchini kuhakikisha wanasimamia utengaji wa fedha za kuwawezesha wananchi kiuchumi ikiwemo mikopo  wanawake, vijana na watu wenye ulemavu  ili ikalete tija kwa jamii, pia amewataka kuhakikisha fedha hizo zinatolewa kwenye vikundi ambavyo vinaleta tija katika jamii ili kuongeza tija kwa maeneo husika na kuhakikisha fedha hizo zinarejeshwa kwa wakati.

Aidha Waziri Ummy awataka Makatibu Tawala wasaidizi na wachumi sehemu ya Mipango na Uratibu kuhakikisha Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga bajeti kwa ajili ya uendelezaji wa  miji na vijiji kwa kwa maendeleo hayatapatikana  kama hatutawekeza katika uendelezaji miji na vijiji nchini


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.