• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Yaiva – Nyamhanga

Imewekwa tar.: May 29th, 2019

Serikali imesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24, 2019 yanaendelea vizuri na hivyo Mikoa na Halmashauri zote pia zijiandae kikamilifu ili kufanya uchaguzi huo kufanyika vizuri na kuwa wa haki na kidemokrasia.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati akiongea na wajumbe wa Kamati Tendaji  ya Wilaya ya Hanang (CHMT) wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi wilayani hapo jana.

Mhandisi Nyamhanga amesema kwa hivi sasa Ofisi ya Rais TAMISEMI imekwisha andaa orodha ya Mikoa, Wilaya, Halmashauri, vijiji, vitongoji na mitaa ili kuondoa matatizo madogo madogo yanayojitokeza wakati wa uchaguzi kama ilivyokuwa kwa chaguzi zilizopita na kwamba mwaka 2019 matarajio ni kuondoa kabisa kasoro hizo pamoja na migogoro isiyo na tija.

Aidha, maandalizi ya Mwongozo wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa upo tayari, Elimu ya Mpiga Kura na uhakiki wa maeneo ya utawala ikiwa ni pamoja na kumaliza migogoro inayojitokeza katika maeneo yote ya utawala nchini kazi ambayo ikikamilika litatolewa tangazo la Serikali kuhusu maeneo hayo ya utawala.

Nyamhanga amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kufanya maandalizi ya kutosha ikiwa ni pamoja na kuhakiki orodha ya vijiji, vitongoji na mitaa, idadi ya maeneo ya utawala na majina yake kwa sahihi.

Kuhusu migogoro ya maeneo ya utawala, Nyamhanga amesema kuwa ni lazima Mikoa na Halmashauri wamalize migogoro iliyopo ndani ya uwezo wao kama ya wilaya na wilaya, kijiji na kijiji, kitongoji au mtaa na kadhalika ili kuepusha kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24 mwaka, 2019.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya Hanang alisema kuwa Wilaya ya Hanang inakabiliwa na upungufu wa watendaji wa vijiji wapatao 43 na hivyo kufanya ukusanyaji wa mapato katika vijiji kuwa changamoto kwani wanaokaimu mara nyingi kazi zao haziridhishi kutokana na ubadhirifu wa mara kwa mara unaotokea.

                           Anaandika Fred Kibano




Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • TAMISEMI NA WWF KUJA NA MPANGO WA UTEKELEZAJI UHIFADHI WA MISITU VIJIJINI

    May 18, 2023
  • NDEJEMBI ATAKA UENDELEVU MFUMO WA M-MAMA

    May 17, 2023
  • DART WADART WATAKIWA KUANZA USANIFU WA HUDUMA MAJIJI MAKUBWA

    May 15, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.