• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

iMES, Imekuja kwa wakati Muafaka

Imewekwa tar.: August 1st, 2019

Wataalam kutoka Idara na Vitengo wa Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, wamesema Mfumo jumuishi wa Ufatiliaji na Tathimini (integrated Monitoring and Evaluation System-iMES), umekuja kwa wakati na enzi muafaka, wakati huu ambao matumizi ya takwimu ni hitaji la kila nyanja katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

Wakiwa katika zoezi la pamoja za uingizaji wa takwimu katika mfumo, wataalam hao wamesema, ile hali yakukimbizana na taarifa pindi zinapo hitajika sasa litakuwa mwanzo na mwisho wake.

Limi George, Afisa Manunuzi katika Manispaa hiyo anasema kwamba, kwakuwa mfumo ni web base, haita malazimu mtaalam kuanza kutembea kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kusaka taarifa bali kwakupitia mfumo wa iMES kila kitu mtu atafanya kazi akiwa mezani kwake.

“Kwakuwa sisi watumiaji wote tumesha tengenezewa akaunti za kutuwezesha kuingia katika mfumo, hata kama kuna hoja za ukaguzi ambazo zilijitokeza kutoka kwa Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali, nikiwa kwenye dawati langu nitaweza kuzifatilia na kuzifanyia kazi bila yakutembea toka Ofisi moja hadi nyingine cha msingi hapa nikwa wataalam kuutumia mafumo kwakuweka data kwa wakati” alisema Limi.

Naye Rose Nyemele, Afisa Muuguzi katika Manispaa hiyo, yeye anasema, pamoja na kutumia mfumo wa (Data Health Information System-DHIS-2) katika masuala ya mipango ya bajeti na MTUHA, ambayo yalianzia ngazi ya Kijiji bado anaona iMES imekuja kwa wakati mujarabu kujibu masuala mtambuka kutoka sekta zote.

“Kwetu sisi watu wa Afya data ni kila kitu, Masuala kama Mipango ya bajeti katika Dawa, Rasilimaliwatu, pamoja na vifaa tiba na vitendanishi vingine hutegemea sana uwepo wa taarifa sahihi na kwawakati, hivyo iMES tunaiona kama suluhu yakudumu, alisema Nyemele.

Mtazamo wa Nyemele, hautofautiani na Afisa TEHAMA katika Halmashauri hiyo Isac Tenguye, ambaye anasema katika Dunia ya sasa kuwa na Mfumo kama huo ni muarobaini wa matatizo ya taarifa.  

“Huu ni mfumo utakao kuwa na chanzo kimoja cha taarifa na utaepusha takwimu kutofautiana kama kipindi cha nyuma, mnaweza kwenda kwenye mkutano mmoja na wadau lakini wewe mtendaji na mdau taarifa zenu mkakuta zinakinzana, lakini kwa iMES tunaona kabisa kila mmoja atajikita kupata taarifa kutoka katika mfumo na hivyo kuondoa tofauti” alisema Tenguye.

Hata hivyo Wataalam hao, hawakusika kuipongeza Serikali pamoja na Wadau wa Maendeleo nchini USAID, chini ya Maradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS.3 kutokana na juhudi wanazo zifanya za uimarishaji wa mifumo ya Sekta za Umma.

“Uzalendo nikuwa na mapenzi mema na nchi yako hivyo tunawapongeza sana OR TAMISEMI pamoja na PS.3, kwa ushirikiano huu ambao unaonesha matunda ya wazi wazi kwa nchi hususan ni katika kipindi hiki cha serikali ya awamu ya tano ambayo imejipambanua katika kumjali mwananchi” alisema Nelson Rugaimukamu Daktari wa Mifugo katika Manispaa hiyp    

Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemela pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, zimekuwa Mamlaka za mwanzo kabisa za majaribio ya mfumo huo wa iMES huku lengo likiwa nikuzifikia Halmashauri zote 185 nchini lakini pia kujumuisha  Wizara  za kisetakta kote nchini.

Anaandika Atley Kuni- Mwanza

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.