• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Force Account nusura iondoke na Afisa Elimu Kongwa

Imewekwa tar.: June 18th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ameagiza Mkuu wa Idara ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuandika barua ya kujieleza kwanini amekaidi kutekeleza miradi ya Elimu kwa kutumia Force Account.

Akizungumza katika ziara yake Wilayani humo Mhe. Jafo amemtaka Afisa Elimu Nelson Milanzi ambaye yuko Mtwara kwenye UMISETA kurejea kwenye kituo chake cha kazi, kurejesha fedha za safari alizopewa kwa siku ambazo alitakiwa kuwepo kwenye mashindano hayo ya michezo ya shule za sekondari ambayo yatamalizika mwishoni mwa wiki hii na kuandika barua ya kujieleza kwanini asichukuliwe hatua.

Jafo amesema haiwezekani Miradi ya Elimu kukwama kwa sababu ya Afisa Elimu kutofautiana na uongozi kwa maslahi  binafsi kwa kutaka  kujenga miundombinu ya shule kwa kutumia mkandarasi na sio mafundi wa jamii (Force Account) kama ilivyoada ya miradi ya Halmashauri.

“Fedha zimeletwa tangu January 2019 kwa ajili ya shule ya Sekondari Sejeli na Kongwa kujenga Mabweni, bwalo la chakula, maabara, madarasa pamoja na nyumba za mwalimu lakini mpaka leo hii ujenzi wa majengo hayo ndio kwanza uko katika hatua za msingi huu ni uzembe wa hali ya juu;

Kazi hii imeanza asubuhi ya leo baada ya kusikia nakuja ziara, hata haya matofali hayajauka, mchanga ndio unashushwa na inaonekana mafundi mmewakusanya huko kijijini ili ujenzi uonekane unaendelea vizuri ila kiuhalisia kazi hii ilikua imesimama kabisa hili ni tatizo kubwa na mnamuangusha Spika kwa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai ambaye anawapigania wananchi wake ili wapate miradi lakini watendaji mnakwamisha alisema Jafo.

Miradi mikubwa karibu kila kona ya Tanzania tumetekeleza kwa kutumia Force Account na imefanikiwa kwa kiwango kikubwa tumejenga majengo ya kutosha na yenye ubora wa hali ya juu sasa inakuwaje mtu mmoja anaanza kujadili kuhusu kutumia Force Account tena kwa muda mrefu hii ni hujuma na inakwamisha maendeleo ya wananchi wa Kongwa aliongeza Jafo.

Sasa nimtake huyo Afisa Elimu ambaye ametajwa kuwa sababu ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi hii aandike barua ya kujieleza kwanini miradi hii ipo katika hatua hii wakati fedha zilishaletwa kuanzia Januari na kupitia barua hiyo ndiyo itatupa mwelekeo kama anastahili kubaki hapa au apangiwe kazi nyingine.

Akizungumzia ucheleweshaji wa miradi hiyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dr. Omary Nkulo amesema pamekuwa na mvutano wa namna ya kutekeleza miradi hiyo wakati Afisa Elimu akitaka kazi hizo apewe mkandarasi baraza la madiwani waliamua itumike force account hapo ndipo pakawa na ucheleweshaji sababu Afisa Elimu alikua anachelewesha kupitisha baadhi ya vitu  kwa sababu mapendekezo yake hayakukubalika.

Dr. Nkulo aliongeza kuwa halmshauri  inachangamoto ya wahandisi wa ujenzi kwa namna kubwa wanatakiwa kusimamia miradi hiyo na aliyepo ni fundi mchundo(Technician)  ambaye ndiye anayesimamia miradi yote inayotekelezwa hapa Kongwa  hiyo pia  imekuwa ni miongoni mwa sababu ya kuchelewa kwa baadhi ya miradi.

Miradi hiyo ya Elimu imetakiwa kukamilika mapema Mwezi August,2019 ili iweze kuchukua wanafunzi wa bweni na miundombinu mingine itumike kama ilivyokusudiwa.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.