• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

DKT. MSONDE ASISITIZA MATUMIZI YA VISHIKWAMBI KWA WALIMU

Imewekwa tar.: July 9th, 2023

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde amewataka Maafisa Elimu Kata  kuwasimamia na kuwasidia walimu namna kutumia vishikwambi walivyopewa kuwezesha ufundishaji na ujifunzaji ili kuinua ubora wa elimu nchini.

Dkt. Msonde ametoa maelekezo hayo wakati akifunga mafunzo endelevu ya walimu kazini (MEWAKA) kwa Maafisa elimu kata 1,209  yaliyofanyika katika chuo cha Ualimu Klerruu Mkoani Iringa.

Dkt. Msonde amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuimarisha utendaji kazi wa walimu nchini kwa kuwatekelezea masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwapatia walimu vishikwambi hivyo ili kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji.

“Kupitia mafunzo haya ya MEWAKA mmefundishwa namna mnavyopaswa kutumia vishikwambi katika ufundishaji na ujifunzaji, hivyo nitoe rai kwenu kuhakikisha vinatumika ipasavyo kuinua ubora wa Elimu nchini”

Amewataka kutumia vishikwambi hivyo kuingia katika Maktaba Mtandao na Mfumo wa Kujifunza (LMS) wa Taasisi ya Elimu Tanzania ili kujipatia vifaa vya kufundishia na kujifunzia pamoja na mbinu mbalimbali za ufundishaji na ujifunzaji.

Aidha, Dkt. Msonde amewata Maafisa Elimu Kata kusimamia kikamilifu vituo vya walimu na kuvitumia kuendesha mafunzo ya walimu kazini  ili kuimarisha ufundishaji na ufundishaji.

“Kupitia mafunzo haya mtayafahamu vema majukumu yenu hivyo kahakikisheni vituo vya walimu vinatumika kuendesha mafunzo ya walimu kazini kama ilivyokusudiwa” Dkt. Msonde amesisitiza.

Aidha, amewata Maafisa Elimu Kata kuwa  chachu ya kuendeleza na kusimamia Mafunzo Endelevu ya Waalimu Kazini (MEWAKA) ili kuboresha ujifunzaji kwa wanafunzi wa Elimu Awali na Msingi.

Amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24 Serikali imejipanga kuendelea kutoa mafunzo kazini yatakayoimarisha  ufundishaji na ufunzaji na itaendelea kuimarisha utoaji wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini  kwa njia ya TEHAMA.

Naye, Mratibu wa Mafunzo kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Huruma Elias amesema Mafunzo hayo yameudhuriwa na Maafisa Elimu Kata 2,384 ambapo katika Kituo cha Chuo cha Ualimu Klerruu jumla ya Maafisa Elimu kata 1,209  wameudhuria na katika Chuo cha Butimba  Maafisa Elimu Kata 1,175 wameudhuria mafunzo hayo.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TAMISEMI KUENDELEA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI.

    June 19, 2025
  • WAZIRI MCHENGERWA AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA MATRIONI YA FEDHA KWA WANANCHI

    June 18, 2025
  • MWANZA BINGWA WA JUMLA UMITASHUMTA 2025

    June 18, 2025
  • MHE. RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KWA MRADI WA SHULE  103 ZA AMALI, BILIONI 41 ZATENGWA KWA SHULE 26.

    June 18, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.