• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Bajeti TAMISEMI Yapita kwakishindo

Imewekwa tar.: April 17th, 2018

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wamepitisha bajeti ya Wizara ya TAMISEMI kwa kauli moja mara baada yakuwasilishwa na Waziri mwenye dhamana na OR TAMISEMI Mhe. Suleman Jafo na Wabunge hao kuchangia kwa hoja tofauti tofati katika maeneo ya vipaumbele vya Wizara kwa Mwaka wa fedha wa 2018/19.

Mara baada ya kupitishwa kwa bajeti hiyo, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe, amekaa meza moja na Wataalam kutoka ngazi ya Wizara, Mikoa na Mamlaka za Serikali za mitaa kwa ajili yakuwashukuru wanatimu waliokuwa wakifanya uchambuzi wa Bajeti ya Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ufanisi kwa muda wa siku 60

Katibu Mkuu Iyombe akizungumza katika kikao hicho, amewataka watenadaji hao kuongeza morali kwani wameifanya Wizara kuwa kinara katika suala zima la utendaji huku akiwaomba kuendeleza njia waliyo ionyesha na kuwa mfano kwa  Wizara zingine za Serikali.

“Mmefanya njia moja nzuri sana, inaheshima, mmeonyesha kwamba ninyi ni watumishi wa umma, mliotukuka, kitu kinachotambulika na wengi wakiwepo Wabunge, na kufanya Bungeni Mkashangiliwa na watu wote hata Zitto Kabwe” Amesema Katibu Mkuu Iyombe.

Katibu Mkuu kipekee ameipongeza Idara ya TEHAMA ya Wizara kwa kazi walioifanya katika kuusanifu mfumo na kwakuwa zoezi la Bajeti kwa Mwaka wa 2018/19 kwa ngazi za Mamlaka za Serikali za Mitaa limefanyika kwa mfumo wa Kieletroniki wa Planrep iliyoboreshwa na hivyo kufanya zoezi hilo kuwa lakwanza kufanyika nala kwa umahiri wa hali ya juu.

Akishukuru kwaniaba ya jopo hilo, Mkurugenzi wa Idara ya Tawala za Mikoa OR TAMISEMI, Beatrice Kimoleta, alisema mbinu kubwa waliyoifanya kufikia na kuhitimisha bajeti za Mammlaka za Serikali za Mitaa mitaa ni pamoja na Umoja, Heshma na Mshikamano ndio vilikuwa ngao kuu za utekelezaji wa majuku hayo waliyokuwa wamekabidhiwa na Wizara.

Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Bajeti wa Wizara OR TAMISEMI John Cheyo  amemuahidi Katibu Mkuu kuwa watafanya vema katika bajeti ijao kwakuwa katika awamu ya sasa ilikuwa ni mara ya kwanza kutumia mfumo huo wa Planrep iliyoboreshwa .

“Mhe. Katibu Mkuu, Tulikuwa na changamoto ndogondogo wakati wa uchambuzi hasa ikizingatiwa kuwa mfumo ni mpya, hivyo tukuahidi kuwa katika mwaka ujao wa fedha zoezi hili litakuwa jepesi na la ufanisi zaidi kwakuwa tayari tumeshapata uzoefu wakutosha" amesema Cheyo.

Suala la maandalizi ya mipango na bajeti kwa njia ya kielektroniki ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb)  wakati akizindua mfumo wa PlanRep iliyo boreshwa, ambayo ilisanifiwa na wataalam wazawa, siku ya tarehe 5 Septemba, 2017 ili kuondokana na matumizi makubwa ya rasilimali muda, fedha pamoja na shajala ambazo zilikadiriwa kufikia wastani wa Shilingi bilioni 4 kila mwaka.

Timu ya wataalam 65 kutoka Makao Makuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mikoa na Halmashauri imefanikiwa kukamilisha uchambuzi wa bajeti za Halmashauri 185 za Tanzania Bara kwa njia ya Kielektroniki kwa mwaka wa fedha 2018/19. Bajeti hiyo inakadiriwa kufikia wastani wa Shilingi trilioni 6

Anaandika   Atley Kuni- OR TAMISEMI 

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.