• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Agizo la Waziri Mkuu Majaliwa laibua shangwe kwa Wafanyabiashara Dodoma

Imewekwa tar.: November 25th, 2022

Na Fred Kibano, Dodoma

Serikali imeziagiza Mamlaka za usafirishaji abiria Jijini Dodoma kuhakikisha daladala zote zinaanzia sokoni Machinga Complex ili kuongeza hadhi ya soko na kuinua uchumi wa Wafanyabiashara.

Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara katika soko la Machinga Complex eneo la Bahi Road Jijini Dodoma hapo jana tarehe 24 Novemba, 2022 kujionea maendeleo ya soko hilo pamoja na changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hao wadogo.

“mabasi kutoka pande zote yanayokwenda Ihumwa, UDOM, Kisasa, Msalato, yaanzie hapa, ni agizo nataka nione yanatekelezwa hayo, nikimaliza hapa Jiji na LATRA muondoke mkae, mzungumze na wafanyabiashara na wamiliki wa mabasi madogo muwaelekeze mtengeneze route (safari) ianze tuone mabasi yakiingia hapa” alisema Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Aidha, Mhe. Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi wa jiji la Dodoma kufanya vikao vya pamoja na Wafanyabiashara wadogo hao ili kufikia hatua ya makubaliano kuhusu malipo ya ushuru wa kufanya biashara katika soko hilo badala ya kuanza kutoza viwango ambavyo vitaamuliwa na upande mmoja wa Serikali.

Pia Waziri Mkuu Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kuwanyang’anya vibanda watu 28 ambao walipata vibanda viwili badala ya kimoja ili vibanda 28 wagawiwe wafanyabiashara waliokosa vibanda sokoni hapo.

Mhe. Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri (AFYA) Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema soko hilo ni moja ya masoko 11 ambayo ni matokeo ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ya kutaka wafanyabiashara hao wafanyebiashara zao katika mazingira salama ili wasihangaike kwenye jua, mvua na vumbi wakiwa hali wakitembea barabarani lakini pia jumla ya masoko yaliyojengwa nchini ni 11 ambapo Manispaa masoko 4, majiji masoko 6 na Mji wa Tunduma soko moja.

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Bw. Joseph Mafuru amesema soko hilo limegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 9 (9,529,747,200) ikiwa shilingi Bilioni 6.5 ni fedha za mapato ya ndani, Bilioni 2.5 ruzuku kutoka Serikali Kuu na milioni 500 fedha za Uviko 19 kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Mafuru pia amesema wameanzisha Mfumo wa kielektroniki wa ‘Machinga Open Market Information System’ kwa ajili ya kuwasajili wafanyabiashara, kutoa vitambulisho na kutunza kumbukumbu ambapo mpaka sasa wafanyabiashara 3,038 wametambuliwa na kuhakikiwa na Mfumo huo lakini wafanyabiashara 3,000 pekee ndio waliosajiwa kwenye mfumo.

Naye Bw. Chrispin Msumari Kiongozi wa Wafanyabiashara ndogo ndogo katika soko la Machinga Complex amemwomba Mhe. Waziri Mkuu kuangalia namna ya kuwapatia mikopo wafanyabiashara hao bila ya kuangalia umri ambao ni kikwazo kwa baadhi ya wafanyabiashara kwani unamtambua kijana ni yule asiyezidi miaka 35.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.