• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Maktaba ya Video

  • Dkt. Gwajima alivyo badilisha Mbinu za Ufuatiliaji Dawa za Serikali

    December 27th, 2019

    Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt. Gwajima amebuni mbinu mpya ya ufatiliaji wa dawa zinazotolewa na Serikali kwenda kwenye Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati kote nchini. Mbimu hiyo ambayo itafundishwa pia kwa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wakaguzi wa ndani litajikita zaidi kwenye utawala na wala hauta husisha siri za Mgonjwa. Akiwa kwenye Ziara yake mkoani Mbeya, Dkt. Gwajima amesema kwa muda mrefu suala la udhibiti wa Dawa limekuwa gumu kwakuwa watu waliopewa jukumu hilo la utunzaji dawa wameshindwa kuwa wazalendo kwa nchi na hivyo kuhujumu mali za umma.

  • Rais Dkt. John Pombe Magufuli Dodoma

    November 28th, 2019

    Hii ndio Miradi iliyozinduliwa na Rais hapa Dodoma.

  • Kipenga Uchukuaji Fomu za Uchaguzi Srikali za Mitaa 2019

    October 31st, 2019

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo, kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Serikali wa Mitaa 2019 ametangaza rasmi siku saba za kuchukua na kurejesha fomu za kugombea nafasi za uongozi.

    Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwa nafasi mbalimbali katika ngazi za Vijiji, Mitaa, Vitongoji na Wajumbe wa Serikali ya Kijiji na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa kwa ajili ya uchaguzi serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu litaanza tarehe 29, Oktoba na litahitimishwa tarehe 4 Novemba, 2019, zoezi ambalo litakuwa la siku tisa.

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake, Jijini Dodoma, Waziri Jafo amesema zoezi hilo linahusisha wananchi  wenye sifa na ambao wamepitishwa katika vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na waliokamilisha taratibu zote kwenye vyama vyao.

    Mhe. Jafo pia amewataka  wananchi wote  wenye nia ya kuongoza katika serikali za Mitaa kutumia siku zilizowekwa kikamilifu kwa kwenda kuchukua fomu za kugombea kupitia vyama vyao.

    “Zoezi hili litaanza rasmi kesho tarehe 29/10 na litahitimishwa siku ya tarehe 4/11, 2019, na watakao takiwa kugombea ni wale wanaotoka katika vyama vyenye usajili wa kudumu na waliopitishwa na vyama vyao” amesema Waziri Jafo.

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • Next →

Matangazo

  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Tangazo la kazi kada ya Afya January 20, 2020
  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza Mwaka 2020 kwa mikoa yote ya Tanzania Bara. December 12, 2019
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 TANZANIA BARA December 06, 2019
  • Fomu za Kuijunga Kidato cha Kwanza 2020 Shule za Bweni January 02, 2020
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa August 30, 2019
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Viongozi TBA Kigoma matatani kwa kushindwa kukamilisha miradi

    January 18, 2021
  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

Tovuti Muhimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.