• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Watoto walionje ya mfumo rasmi wa shule waandikishwa na kurudishwa shuleni

Imewekwa tar.: June 19th, 2022

Asila Twaha, TABORA

Serikali imesema itaendelea   kushirikiana na wadau wa maendeleo   kuhakikisha watoto wote walionje ya mfumo rasmi wanaandikishwa na kurudishwa shuleni ili waweze kupata elimu ikiwa ni haki yao ya kimsingi.

Kauli hiyo imetolewa  Juni 17, 2022 na Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian Mkuu wa Mkoa wa Tabora  ambaye ni mgeni rasmi akimuakilisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa wakati wa uzinduzi wa Programu ya Elimisha Mtoto.

Amesema lengo la Programu hiyo ni  kuwaandikisha na kuwarudisha watoto walionje ya mfumo rasmi wa shule nchi mzima na  kuitaka jamii, wazazi, walezi, watoto, wadau wa maendeo wote kwa pamoja kushirikiana na kuhakikisha kila mtoto anapata elimu ikiwa ni haki ya kimsingi.

Amefafanua kuwa  programu hiyo pia itasadia kuweza kuwafuatilia na kujua ni kundi gani ambalo bado lipo nyuma  kielimu kwa kuweza kuwafuatilia .

Balozi Batilda amesema, idadi ya watoto waliokuwa nje ya mfumo rasmi imekuwa ikipanda  na kushuka  na hili amesema ni kutokuwa na  nguvu moja kwa jamii kuliona kuwa jambo hili ni jukumu letu sote.

Kuwepo kwa programu hiyo ambayo itaanza kwa mikoa mitatu ambayo ni Tabora, Kigoma na Songwe italeta picha ya mafanikio kwa nchi nzima na utekelezaji wa mikoa hiyo ni utekelezaji wa mikoa yote ya Tanzania.

Mhe. Batilda ametoa rai kwa watendaji wote wa elimu kuhakikisha wanafuata miongozo na taratibu katika usimamizi wa elimu ili kufikia malengo ya Serikali katika sekta ya elimu na kuwataka wazazi/walezi na jamii kuhakikisha wanasimamia suala la elimu kwa kuwaandikisha na kuwapeleka watoto shule ili kupata elimu.

“Tunaendelea kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusimamia suala la elimu bila malipo na pia kuliangalia suala la upatikanaji wa elimu hiyo bila ada mpaka Kidato cha Sita” amesema Mhe. Batilda

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Elimu Ofisi ya Rais, TAMISEMI Bw. Ephraim Simbeye amesema, TAMISEMI itaendelea kufuatilia na kusimamia  elimu bora kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji wa elimu.

“Natoa rai kwa watendaji wenzangu wa  elimu TAMISEMI tupo nchi nzima  kuanzia kijiji mpaka mtaa suala la elimu  ni haki ya kila mtu watendaji wa mitaa na jamii yote tushirikiane kusimamia watoto wote wanaandikishwa  na  kupelekwa shuleni” amesisitiza Bw. Simbeye

Kwa upande wa mwakilishi wa UNICEF Sabrina Heavy imeishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kushirikiana na wadau amesema, wao peke yao  hawawezi kuendesha programu hiyo ila ni jukumu la pamoja kushirikiana na  jamii kuendelea kupewa elimu ili kuliona suala la kupata elimu kwa watoto ni haki ya msingi.

Uzinduzi huo ulikuwa na kauli mbiu inayosema “Tushirikiana kuwaandikisha na kuwarudisha shuleni watoto walionje ya mfumo rasmi wa elimu”


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.