• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

Serikali yatoa mabati 324 kwa shule ya msingi Manungu

Imewekwa tar.: April 3rd, 2020

Serikali imetoa mabati 324 kwa Shule ya Msingi Manungu iliyoko  katika  kata ya Sejeli, Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuezeka vyumba vya madarasa matano yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi..

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Mwita Waitara leo katika ziara yake ya kikazi kukagua maendeleo ya ujenzi wa madarasa hayo katika Halmashauri hiyo.

Mhe. Waitara amesema kutokana na juhudi za wananchi katika kushirikiana na serikali katika kuleta maendeleo kwenye sekta ya elimu ndani ya wiki mbili mabati hayo ya geji 28 yatakuwa yamewasilishwa katika shule hiyo ili kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule hiyo.

“Nataka shule zikifunguliwa baada ya janga la   COVIC-19(CORONA) kuisha na wanafunzi krudi shule, madarasa hayo yaanze kutumika  ili kutatua changamoto ya uhaba wa madarasa katika shule hii,”ameelekeza Mhe.Waitara.

Amewapongeza  wananchi wa Kongwa na watanzania kwa ujumla kwa moyo wa kujitolea na kuhakikisha wamejenga vyumba vya madarasa katika shule hiyo,ikiwa ni kuunga mkono juhudu za Serikali katika kuboresha miundombinu ya elimu ili kutengeneza wasomi wengi watakaokuja kulitumikia taifa hapo baadae.

Wakati huohuo, Mhe. Waitara ametoa wito kwa wananchi  kufuata malelekezo yanayotolewa na Serikali pamoja na wataalam wa afya kuhusu  kuchukua tahadhari ili kudhibiti ungonjwa wa Covid-19(Corona) kwa kuosha mikono na maji tiririka,  kutumia vitakasa mikono na taratibu nyinginezo zilizoelekezwa.

“Nitoe rai kwa wazazi na walezi wote nchini kuhakikisha wanachukua tahadhari dhidi maabukizi ya ugonjwa huo kwa watoto  kwa kuwa hivi sasa  wapo majumbani hivyo msianze kuwatuma kwa ndugu na minadani wakafanye shughuli nyingine kwani lengo la kutoka mashuleni ni kuchukua tahadhali ya kuepuka msongamano juu ya kukabiliana na janga la Covid-19,” amesisitiza  Mhe.Waitara.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Bw.Deo Ndejembi amesema kuwa atahakikisha anasimamia vyema mabati hayo yaliyotolewa ili vyumba hivyo vya madarasa  viweze kukamilika na kutumika.

Na. Majid Abdulkarim KONGWA



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.