• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

PROF.SHEMDOE ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI CHALINZE

Imewekwa tar.: November 17th, 2022

OR-TAMISEMI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze , Mkoani Pwani

Pro.Shemdoe leo Novemba 16, 2022 amekagua   miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo

Amekagua miradi ya  ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa ajili ya wanafunzi watakaoanza masomo ya kidato cha kwanza Januari 2023, ujenzi wa madarasa katika shule ya Sekondari Chahua,na shule ya Sekondari Lugoba.

Prof.  Shemdoe ameipongeza Halmashauri hiyo kwa usimamizi wenye weledi wa kuhakikisha madarasa hayo yanajengwa  kwa viwango stahiki.

“Nikupongeze Mkurugenzi na timu yako kwa usimamizi makini, madiwani na uongozi wa Shule kwa maana ya wakuu Shule wote wanaoendelea na utekelezaji wa miradi hii nawaomba muongeze bidii mara ifikapo tarehe 15 Desemba, madarasa yawe yamekamilika.” amesisitiza Prof Shemdoe

Vilevile, Prof. Shemdoe amekagua  Ujenzi wa soko la Bwilingu na kukagua   ujenzi wa vibanda vya wajasiriamali vinavyoendelea kujengwa kuzunguka soko  jumla ya vibanda hivyo ni 150 na vinajengwa kutokana fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ili kuwezesha  wananchi kiuchumi.

Pia Prof Shemdoe amekagua hospitali ya Wilaya ya Msoga na kukagua Ujenzi wa jengo la  Matibabu ya Dharura(EMD) kinachoendelea kujengwa katika hospitali hiyo na kumshukuru Rais Mstaafu wa awamu Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuwezesha upatikanaji wa mradi huo unaotekelezwa kwa faida ya watanzania wanapopatwa na ajali na kuwa na uhakika wa matibabu wakati wowote.

Aidha, amekagua  vifaa tiba mbalimbal vilivyonunuliwa kutokana na fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri na fedha kutoka Serikali kuu ambavyo ni  vifaa vya Mionzi (X-ray)na vipimo vya moyo vinavyopima umeme wa moyo kwa binadamu.

Amewapongeza viongozi wa Halmashauri  kwa hatua kubwa za maendeleo zinazofanywa hasa katika suala zima la usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo.


Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • TAMISEMI NA WWF KUJA NA MPANGO WA UTEKELEZAJI UHIFADHI WA MISITU VIJIJINI

    May 18, 2023
  • NDEJEMBI ATAKA UENDELEVU MFUMO WA M-MAMA

    May 17, 2023
  • DART WADART WATAKIWA KUANZA USANIFU WA HUDUMA MAJIJI MAKUBWA

    May 15, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.