• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Maafisa Uuguzi na Ukunga waaswa kusimamia maadili na nidhamu ya kazi

Imewekwa tar.: March 21st, 2024

Na. Fred Kibano, Dodoma

Dkt. Rashid Mfaume Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI akimwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewaagiza Maafisa Uuguzi na Ukunga Viongozi nchini kuimarisha nidhamu kwa kuwachukulia hatua watumishi wanaokiuka miiko ya kazi.

Dkt. Mfaume ametoa kauli hiyo wakati akifunga kikao kazi cha siku tatu kwa Maafisa Uuguzi na Ukunga nchini kilichpofanyika katika ukumbi wa PSSSF Jijini Dodoma tarehe 20 Machi, 2024 na kuwataka watendaji hao kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na miiko ya ukunga na uuguzi.

“nasisitiza na kuwaelekeza kuhakikisha, mnaimarisha usimamizi wa huduma za afya na rasilimali na msisite kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wote watakaobainika kwenda kinyume na maadili ya kitaaluma na kwa wale wote wanaofanya ubadhirifu wa mali za Umma” alisema Dkt. Rashid Mfaume.

Amesisitiza pia kuhakikisha wanakwenda kutumia maarifa na uzoefu walioupata katika mkutano huo na kuimarisha utekelezaji wa majukumu yao pamoja na kuimarisha utawala bora na uwajibikaji katika kuinua kiwango cha huduma za afya nchini.

Katika hatua nyingine Dkt. Mfaume akimwakilisha Mhe. Mchengerwa amemwelekeza Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi Ziada Sellah kusimamia utoaji wa huduma staha na mawasiliano madhubuti ili kuondoa changamoto ya utoaji wa huduma staha na mawasiliano madhubuti baina ya mteja na mtoa huduma kwani imekuwa ikisababisha malalamiko kutoka kwa wananchi. 

Kwa upande wake Bi. Ziada Sellah Mkurugezi wa Huduma za UUguzi na Ukunga Tanzania na Muuguzi Mkuu wa Serikali amesema kwa kipindi cha mwaka 2022/2023 Idara ya UUguzi na Ukunga ilifanya tathmini ya utoaji wa huduma kwa wananchi katika hospitali za Wilaya na Mikoa ambapo asilimia 29 ya huduma ilikuwa kwa huduma za uuguzi na ukunga asilimia 53 lakini baada ya kuwajengea uwezo watendaji wa kada hiyo kwa mwaka 2023/2024 huduma za uuguzi ilipanda hadi kufikia asilimia 66 na upande wa ukunga ilipanda hadi kufikia asilimia 75. 

Naye Bwana Alex Baluhya Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania ameiomba Serikali kushughulikia muundo wa kiutumishi wa kada ya wauguzi na wakunga kwani Muundo wa Utawala wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI hauwatambui Wauguzi Viongozi, Muundo wa Maendeleo ya Utumishi wa Umma wa kada za Uuguzi na Ukunga na kumba kama itawezekana waongeze sehemu ya Uuguzi na Ukunga ili kuboresha utendaji na maslahi yao kwani pamoja na kuwa wamejiendeleza katika ngazi tofauti za elimu hakuna utaratibu madhuti wa kuwapandisha vyeo na mishahara yao.

Bwana Ahmed Chibwana Mwenyekiti wa Wauguzi Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara amesema wamekubaliana na kumeazimia kuimarisha usimamizi wa huduma za mama na mtoto katika vituo vya kutolea huduma za afya kupitia matiumizi sahihi na tafsiri sahihi ya grafu za uchungu pamoja na kuimarisha uratibu wa ukaguzi wa kamatibabu wa huduma za uuguzi na uchungu (clinical audit).

Mkutano huo hufanyika kila mwaka kwa lengo la kutathimini na kujadili ubora wa huduma za afya zinazotolewa na Wauguzi na Wakunga nchini kwa lengo la kupata fursa ya kubadilishana maarifa na uzoefu katika utekelezaji wa shughuli zao katika kusimamia utoaji wa huduma za afya katika ngazi zote nchini, Kauli mbiu ya Mkutano huo ni “Huduma staha na mawasiliano Madhubuti ni wajibu wa kila mtoa huduma”



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UNUNUZI WA MAGARI YA WAGONJWA.

    May 12, 2025
  • Mhandisi Mativila aridhishwa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara ya Mtili-Ifwagi na Sawala-Iyegeya

    May 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.