• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

Jafo azitaka Asasi za Kiraia nchini (AZAKI) kulisemea mema Taifa.

Imewekwa tar.: November 8th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amezitaka Asasi za Kiraia nchini (Azaki) kuendelea kulisemea mema Taifa ili kujenga uzalendo nchini.

Ameyasema hayo leo wakati akifunga Mkutano wa majadiliano ya wiki ya Asasi za Kiraia Nchini (Azaki) yakifanyika katika ukumbi wa Morena Jijini Dodoma.

Mhe. Jafo amesema ifike mahali Azaki mbalimbali nchini kuhakikisha wanatangaza maendeleo yaliyofanyika nchini hasa katika sekta ya afya, elimu, ujenzi wa miundombinu ya barabara, umeme maji na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika nchini.

Amezitaka Azaki hizo kujenga hoja kwa wafadhili ili waweze kupata fedha ambazo zitasaidia kutangaza mazuri yaliyofanywa na Serikali katika Awamu ya Tano ya Uongozi chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli ambapo itasaidia kuwajuza wananchi mema yaliyofanywa na Serikali yao.

“Kama Serikali kwa kutumia kodi za wananchi na  imeweza kufanya maendeleo mbalimbali nchini, Azaki hazina budi  kuwa mstari wa mbele kutangaza na kusemea  mazuri yaliyofanywa na Serikali ili wananchi wajue na mseme bila kuona aibu huo ndio uzalendo” Amesisitiza Mhe. Jafo

Hata hivyo, Mhe Jafo amesema kuwa mstakabali wa Nchi ya Tanzania ulivyofikia hivi sasa chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli umetokana na mchango mkubwa  wa Asasi za Kiraia nchini   kwa kusoa na kuleta mabadiliko nchini.

Mhe. Jafo ameendelea kufafanua kuwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa itaendelea kushirikiana na Asasi za kiraia ili kuleta mabadiliko katika utendaji kazi na kuleta maendeleo katika jamii.

” Sisi ni wadau wakubwa wa Azaki kwa sababu zinagusa moja kwa moja maisha ya wananchi wetu,jukumu letu ni kuziunganisha  Halmashauri zote 185 na malengo yetu ni kutoa huduma  bora kwa wananchi,” amesisitiza Mhe. Jafo

Mhe. Jafo amesema kuwa Azaki  pamoja na Serikali zinajenga nyumba moja ambapo lengo likiwa ni  kuleta maendeleo kwa jamii, hivyo ifike mahali  tujenge ushirikiano  ambao utaisogeza nchi  katika uchumi wa kati na kuleta mabadiliko.

Aidha,ametoa rai kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhakikisha Asasi za Kiraia (Azaki) hazicheleweshwi kupata vibali vya kufanyia kazi pale wanapokidhi vigezo katika Mikoa na Halmashauri  nchini na kuwataka Wakuu wa Mikoa kuharakisha mchakato wa vibali  kwa haraka ili Azaki hizo ziweze kutekeleza majukumu yao kwa wakati.




Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.