• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

Imewekwa tar.: January 20th, 2021

Na Atley Kuni, Dodoma

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma na Wakala wa Barabara mijini na Vijijini (TARURA) kwa ujenzi imara wa barabara Jamhuri na Msikiti wa Gadafi, yenye urefu wa kilomita 1,

Pia ametoa miezi 5 kukamilishwa kwa ujenzi wa barabara ya Nkuhungu-JCT Chamwino yenye kilomita 1, inayokarabatiwa kwa kiwango cha lami nyepesi.

Jafo alitoa pongezi hizo leo jijini Dodoma mara baada ya kukagua ujenzi wa Barabara hizo.  

Amesema ameridhishwa na ujezi wa barabara ya lami nzito uliotekelezwa na Mkandarasi Nyanza Road kwa Gharama ya Sh bilioni 1.072 kwa muda wa siku 60, huku akihimiza kuimarisha usafi wa mitaro ya barabara hiyo.

“Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya mimi hapa sina wasiwasi kabisa, nimeridhika na ujenzi huu na hasa ikizingatiwa kwamba eneo hili yanapita magari yenye uzito tofauti tofauti yakiwepo malori, hivyo kujenga kwa kiwango hiki cha  lami nzito ilikuwa ni sahihi kabisa” 

Akiwa katika eneo la Barabara ya Nkuhungu- JCT Chamwino, Jafo, alitaka kujua muda sahihi uliopangwa kukabidhi kazi hiyo ambayo imesita kwa muda kutokana na hali ya hewa.

Awali, Mhandisi wa TARURA Mkoa Lusako Kilembe, alimwambia Mhe. Waziri, kazi hiyo inatazamiwa kukabidhiwa mwezi wa sita hatua iliyomlazimu Waziri kutoa maelekezo ya kuharakishwa kwa kazi.

 

“Mtendaji mkuu wa TARURA, huyu Mhandisi, msije mkamhamisha hapa anaonekana ni mtu anayefahamu vema majukumu yake na hasa kwa mahitaji ya Makao Makuu ya Nchi, nitoe rai tu, kufikia mwezi Juni kwa tarehe iliyopangwa kazi hii iwe imekamilika."

Barabara ya Nkuhungu JCT Chamwino inajengwa kwa gharama ya Sh milioni 819.4, ambapo ujenzi wake unategemea kuchukua siku 180 hadi kumalizika. 

Mhandisi Lusajo, aliahidi muda uliobakia ambao ni siku   siku 140 wakati maendeleo ya mradi huo umefikia asilimia 10 ya mradi mzima.

Akisoma taarifa ya ujenzi, Mhandisi wa TARURA, Mkoa wa Dodoma Lusako Kilembe, alisema changamoto kubwa iliyoathiri mradi kutokamilika kwa wakati ni mvua zinazoendelea kunyesha mfululizo mkoani hapo.

Barabara ya Nkuhungu JCT Chamwino, inajengwa na Mkandarasi G’s Contractors Co. Ltd ya mkoani Iringa, ambapo urefu wa barabara ni Kilomita 1 inayojengwa kwa kiwango cha lami nyepesi, ujenzi wa mifereji ya maji, mita 300 ujenzi wa kalvat 8 na uwekaji wa alama za barabarani.

Waziri Jafo, alikuwa katika ziara za kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na wakala wa Barabara Mijini na Vijijini TARURA mjini Dodoma.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.