• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

David Silinde azindua Umoja wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Tanzania (UWETA)

Imewekwa tar.: November 6th, 2021


Na Asila Twaha, Dodoma

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa David Silinde amezindua Umoja wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Tanzania na kuwaagiza viongozi hao wakasimamie fedha za miradi ya maendeleo zinazopelekwa katika maeneo yao.

Naibu Waziri Silinde ameyasema hayo leo Jijini Dodoma wakati akizungumza na viongozi na wajumbe wa umoja huo ambao moja kwa moja ndio walengwa katika maeneo wanayoishi na wananchi kwa kuona na kusimamia maendeleo ya miradi inayopelekwa ujenzi wa miundombinu huduma za kiuchumi na kijamii ikiwemo Elimu, Afya na Barabara.

Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango na jitihada za Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji nchini zikiwemo pamoja na changamoto amesema Naibu Waziri Silinde katika bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kutoa fedha za ujenzi, kukarabati pamoja na ununuzi wa samani za ofisi hizo ili viongozi hao waweza kutoa huduma bora kwa wananchi.

Akifafanua stahiki za viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Serikali imeweka utaratibu kwa kila Mtaa au Kijiji kulipa posho kutokana na mapato yao.

“Halmashauri zote nchini hupaswa kurejesha mapato ya Kijiji/Mtaa yanajumuisha mapato yanayotokana na asilimia 20 ya mapato yanayokusanywa kutoka vyanzo vya ndani vya Halmashuri nakiri kwamba utekelezaji wake unatofautiana kati ya Halmashauri moja na nyingine”. Amesema Silinde

Amewaagiza viongozi wa umoja huo kuisaidia Serikali katika kushirikiana na Watendaji wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu ili kuzipa heshima Mamlaka za Serikali za Mitaa lakini pia kutatua changamoto za wananchi hasa migogoro ya ardhi nchini kwani hili linaanzia kwao.

“hakikisheni mnaepuka kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika maeneo yenu kwa kushiriki kuuza au kushuhudia uuzaji wa ardhi kwa mnunuzi zaidi ya mmoja na bila kuzingatia Sheria ikiwemo maeneo ya wazi, maeneo yaliyoifadhiwa au maeneo ya kingo za mito na bahari kinyume na Sheria” amesema Silinde

Kwa upande wake Mwenyekiti wa  Umoja wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Tanzania(UWETA) Bw. Lucas Mwasongwe ameishukuru Serikali kwa kutambua mchango wao na kuiomba iendelee kuona umoja huo kwani wao wanafasi kubwa kwa jamii katika kuleta maendeleo ya nchi.

Umoja wa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Tanzania utaunganisha Wenyeviti wa Mitaa 4,263, Vijiji 12,318 na Vitongoji 64,361 nchini.





Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA ATNO AWAMU YA PILI,2023 September 27, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • DMDP II MBIONI KUANZA KAZI ZA UJENZI

    September 27, 2023
  • SHULE SALAMA MWAROBAINI WA UKATILI DHIDI YA WATOTO

    September 27, 2023
  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.