UHAMISHO WA WATUMISHI MSM DESEMBA 2015

15-January-2016.

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inatangaza orodha ya watumishi 5700 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waliokidhi vigenzo na kupata kibali cha uhamisho kwa kipindi cha Desemba 2015 na orodha ya watumishi 87 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ambao hawajakidhi vigezo vya kuweza kuhamishwa.

Vile vile, OR-TAMISEMI inatangaza orodha ya watumishi 40 ambao walikwishapata uhamisho awali na orodha ya majina yao hayakuonekana kwenye mtandao na kupelekea kutokukamilika kwa uhamisho wao.

Barua za uhamisho wa watumishi hawa zinapatikana kupitia Ofisi za Wakurugenzi wanakotoka kuanzia tarehe 22/01/2015 na sio OR-TAMISEMI, Ofisi za Wakuu wa Mikoa au Ofisi za Wakurugenzi wanakohamia.

Imetolewa na: -
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

PAKUA ORODHA HAPA :
1. Orodha ya Watumishi waliokidhi vigezo na kupata kibali cha uhamisho

2. Orodha ya Watumishi ambao hawakukidhi vigezo vya uhamisho

3. Orodha ya watumishi ambao walikwishapata uhamisho awali na majina yao hayaonekani kwenye mtandao.
4. Uhamisho Kibali Maalum March 2015.

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.