PLANREP KWA HALMASHAURI MPYA NA NYINGINE KWA MWAKA WA FEDHA 2016/ 2017

07-December-2015.

PlanRep3_Micro_Version9.0.0 for new LGAs:
Hii ni version kwa ajili ya Maandalizi ya Mipango na Bajeti kwa mwaka 2016/2017 kwa Halmashauri mpya za Malinyi DC, Madaba DC, Bunda TC, Kilombero TC, Mbinga TC, Kondoa TC, Newala TC, Mbulu TC, Nanyamba DC, Kigamboni Dc, Ubungo DC, Mafinga TC, Buchosa DC, Itigi DC, Chalinze DC na pwimbwi DC.
Download PlanRep3_Micro_Version9.0.0

PlanRep3Micro_Ver8.2.10_Release17_UpdateInstallation:
Hii ni version kwa ajili ya maandalizi ya Mipango na Bajeti kwa mwaka 2016/2017 kwa Halmshauri nyingine zote isipokuwa zilizooredheshwa hapo juu kwenye version9. Unashuriwa kuchukua Backup ya version ya PlanRep version ulionayo kabla hauja_install hii version.
Download PlanRep3Micro_Ver8.2.10_Release17_UpdateInstallation

Planrep fulll installation old version:
Download PlanRep3_8202_FullInstallation_17Apr2013

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Idara ya TEHAMA OWM-TAMISEMI (Haji Idd +255 717 272 392 au Archibold Kundasai +255 753 033 647)

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.