Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa July 2015.

10-Julai-2015.

Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina 4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini July 2015. Aidha orodha ya watumishi 115 ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.

Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.

BOFYA HAPA KUPATA ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA WALIOHAMISHWA

BOFYA HAPA KUPATA ORODHA YA MAJINA YA WATUMISHI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA AMBAO HAWAKUKIDHI VIGEZO VYA KUPATA UHAMISHO

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.