Kikao kazi Maboresho Mfuko wa Afya ya Jamii

Na Shani Amanzi

Kikao kazi Maboresho Mfuko wa Afya ya Jamii

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI)anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula kulia akizungumza katika kikao cha kazi kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Watumishi kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati wa kujadili maboresho yanayotakiwa kufanyika katika Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF) mjini Dodoma tarehe 13 Machi, 2017.

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.