• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu

Waziri Jafo kuwa Mgeni Rasmi Mkutano wa Waganga Wakuu

Imewekwa tar.: August 18th, 2019

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh Selemani Jafo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri utakaofanyika jijini Dodoma kuanzia Agosti 20 hadi 24 Mwaka huu.

Akizungumzia mkutano huo Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe wa TAMISEMI, Dk Ntuli Kapologwe amesema kauli mbiu ya mkutano huo itakua ni uwajibikaji ni nguzo muhimu katika utoaji huduma bora za afya kuelekea uchumi wa kati.

Amesema mkutano wa mwaka huu utakua ni tofauti na mikutano mingine kutokana na kuanzisha ushirikiano wa karibu baina yao na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto huku pia wakiwakaribisha Wakurugenzi wa Hospitali mbalimbali ikiwemo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Hospitali Maalum ya Jakaya Mrisho Kikwete, Wakurugenzi wa Hospitali za Kanda na wadau wengine.

" Ukiachia hao pia tutakua na Makatibu wa Afya wa Mikoa na moja ya vitu tutakavyofanya katika mkutano huu ni kufanya tathimini ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita kuhusiana na utekelezaji wa afua mbalimbali za sekta ya Afya lakini ukiachia hivyo tutafanya pia tathimini ya kuangalia maazimio tuliyoingia mwaka jana kuangalia jinsi gani tulivyoyatekeleza," amesema Dk Kapologwe.

Amesema sambamba na hayo wataweka mikakati kwa ajili ya mwaka  ujao ambao pia wataufanyia tathimini Agosti 2020.

Dk Kapologwe amesema mkutano huu pia utakua tofauti kwa sababu watapokea zaidi mawasilisho yatakayotoka katika ngazi za Mikoa na Halmashauri.

" Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri wana changamoto mbalimbali na wana mambo waliyofanya vizuri. Wao ndio watakua watoaji mada na sisi tutakua wachangiaji lakini ukiachilia hilo Wizara ya Afya kama watengenezaji Sera watakua na jukumu la kuwasilisha mada mbalimbali za kisera ambapo Waganga wakuu na Wakurugenzi wa Hospitali watahakikisha wanazipeleka katika maeneo yao kwa ajili ya utekelezaji," amesema Dk Kapologwe.

Aidha amesema watatumia njia mbalimbali ili kuhakikisha wananchi wanapata taarifa za kina juu ya kile kinachojiri kwenye mkutano huo ambapo watatumia tovuti ya TAMISEMI, Mitandao ya kijamii sambamba na vyombo vya habari lengo ni kuwafanya pia wananchi washiriki katika mkutano huo.

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 23 Wilayani Busega vimenufaika na mikopo ya asilimia 10

    February 26, 2021
  • Vikundi 366 Wilayani Kilwa vyanufaika na mikopo ya sh bilioni 1.1

    February 26, 2021
  • Waziri Jafo ataka Zimamoto, Skauti wakomeshe majanga ya moto shuleni

    February 26, 2021
  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.