• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

Imewekwa tar.: March 1st, 2021

Na Atley Kuni, Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi Halmashauri, kuhakikisha shilingi bilioni 245.3 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo zinatumika kwa wakati kwenye miradi iliyokusudiwa na kwamba hatarajii kuona fedha hizo zinarudishwa hazina ifikapo mwisho wa mwaka huu wa fedha.

Akizungumza na waandishi wa Habari, katika Makao Makuu ya Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma leo, Waziri Jafo amesema kuwa, ifikapo tarehe 30 Mei, 2021, kila halmashauri ihakikishe kuwa fedha zote zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo kama ujenzi wa madarasa, zahanati au majengo ya ofisi za serikali zinatumika ipasavyo kwa malengo yaliyokusudiwa na thamani ya fedha ionekane.

Amesema kamwe, hatarajii kuona halmashauri yoyote iliyopokea fedha toka hazina, inapofika mwezi wa sita, ikishindwa kutumia fedha yote iliyopokea kwa visingizio vya aina yoyote ndiyo maana anawajulisha viongozi wakuu wa mikoa na kufuatilia mapema ili fedha zote zitumike kwa wakati muafaka kukamilisha miradi ya maendeleo iliyokusudiwa.

“Kwa hiyo niwatake wakuu wa Mikoa, wasimamie fedha hizi katika halmashauri zao, ninafahamu yawezekana wakuu wa Mikoa wengine saa hizi hawana taarifa kwamba kuna fedha zimeingia katika maeneo yao ya utawala, hususan ni katika halmashauri, ndio maana ninataka wakuu wa mikoa wakasimamie, kwanza kujua ni kiasi gani zimefika kwa kila halmashauri na pili kuhakikisha fedha zilizo ingia katika robo ya pili nay a tatu ya mwaka zinatumika ipasavyo na thamani ya miradi ionekane ifikapo Juni 30,2021” amesema Mhe. Jafo.

Waziri Jafo amesema kufikia sasa kiasi cha sh. bilioni 245 sawa na asilimia 38.9 ya fedha zote zilizotengwa na serikali cha Shilingi bilioni 629.1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020/21 kimekwishatolewa, hivyo ni jukumu la wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi halmashauri kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumika ipasavyo.

Amefafanua kuwa kiasi cha fedha kilichotolewa, kimeelekezwa katika miradi ya ujenzi wa majengo ya Utawala ya halmashauri, ujenzi wa wodi tatu katika  hospitali 67 zinazoendelea kujengwa, ununuzi wa vifaa tiba, ujenzi wa Hospitali 27, ukamilishaji wa zahanati tatu kwa kila halmashauri, miradi ya elimu ikiwemo na ukamilishaji wa majengo ya madarasa.

Amesema katika mwaka wa fedha ulioisha wa 2019/20 fedha nyingi zilirudi hazina huku miradi mingi ikiwa haijakamilika, kwa hiyo amesisitiza kuwa hataki suala hili lijirudie tena mwaka huu.

Waziri Jafo, amesema yeye pamoja na Naibu Mawaziri wawili katika Ofisi yake muda wote watakuwa macho kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji wa kazi zinazo endelea.

Matangazo

  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati March 29, 2021
  • Kitabu cha Maombolezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli March 18, 2021
  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Watendaji Halmashauri watakiwa kujenga ushirikino na madiwani

    April 15, 2021
  • Tutayaendeleza yaliyoanzishwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli – Waziri Ummy

    April 15, 2021
  • TARURA Iringa watumia shilingi milioni 153 kukarabati barabara za Kalenga

    April 12, 2021
  • Shilingi bilioni 1.5 zatumika kujenga vituo vinne vya afya Tunduru

    April 12, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.