• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Wananchi wa Swaswa changamkieni fursa

Imewekwa tar.: November 22nd, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi , Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za  Mitaa (TAMISEMI), Seleman Jafo ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Swaswa, Manispaa ya Dodoma  kuchangamkia fursa  ya ujasiriamali katika kipindi cha ujenzi wa barabara ya Martin Luther  kuelekea Swaswa yenye urefu wa kilomita moja nukta  tisa (1.9km).

Wito huo ametolewa leo katika ziara yake ya  ukaguzi wa miundo mbinu ya barabara katika Jiji la Dodoma ambapo amewataka  Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kukamilisha barabara hiyo ndani ya mwezi moja kuanzia sasa.

Aidha  Mhe. Jafo amesema ujenzi wa mradi huo ni neema kwa wakazi wa eneo hilo ambapo watapata fursa ya kuwa  na migahawa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali  za kijamii kwa wananchi watakao kuwa wakifanya kazi katika mradi huo ili kujipatia kipato kitakacho wainua kiuchumi.

‘Mungu akijalia tarehe 21 mwezi Desemba mwaka huu ntakuwepo hapa saiti  kukagua kama mradi huu  umekamilika kwa wakati na uko katika ubora unaohitajika’’ alisema Jafo.  

Mhe. Jafo meongeza kuwa TARURA wanatakiwa kuhakikisha wanasimamia wakandarasi wa barabara zote zinazojengwa  nchini kuwa zinajengwa kwa kiwango kinacho hitajika ili ziweze kutumika kwa muda uliopangwa.

‘Nimeridhika na ujenzi wa barabara ya TPS, upo katika hatua mbalimbali  na ujenzi unaenda vizuri nimejionea mpaka sasa na wameniambia ujenzi huu uko katika asilimia 20’’ Alisema Mh. Jafo .

Naye Mkuu ya Wilaya wa Dodoma Mjini, Mhe. Patros Katambi amesema jukumu lake ni kuhakikisha anatekeleza maagizo yote yanayotolewa na viongozi wake wa ngazi za juu kwa kushirikiana na viongozi wake wa ngazi ya wilaya.

Mkazi wa Swaswa, Bi Anna Charles amesema ujenzi wa barabara hiyo ukikamilika itakuwa ni kheri kwa wakazi hao kwani itaondoa adha ya usafiri kwa sababu wamekuwa wakitembea mwendo mrefu kutafuta usafiri.

Bi. Anna ameendelea kwa kusema kuwa itaondoa usumbufu kipindi cha mvua barabara hiyo imekuwa haipitiki kutokana na barabara hiyo kujaa maji kipindi cha mvua.

Mradi huu wa ujenzi wa barabara ya Martin Luther unatakiwa ukamilike ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa na kukabidhi 21 Disemba mwaka huu.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.