• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Vituo vya afya vyatakiwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato

Imewekwa tar.: September 30th, 2018

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Dkt. Zainabu Chaula  amewaagiza  Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya Nchini kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa mapato kwenye vituo vya afya  ili kuongeza mapato na kujiendesha vyenyewe.

Dkt. Chaula ameyasema hayo alipotembelea kituo cha afya cha Tinde  kilichopo Mkoani Shinyanga wakati  akiwa njiani  kuelekea  Mkoa wa Geita  kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ukarabati na ujenzi wa vituo vya  afya nchini.

Amesema kuwa Serikali imejenga miundombinu bora ya vituo vya afya nchini kwa gharama kubwa  hivyo ni vyema Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanakusanya mapato ili vituo hivyo viweze kujiendesha  vyenyewe.

“Serikali imewekeza fedha nyingi katika ujenzi wa miundombinu ya afya nchini lakini inasikitisha kuona bado kasi ya ukusanyaji wa mapato ndogo, nawaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha mnaongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato kwenye Vituo vya afya vyote nchini“ Anasisitiza Dkt. Chaula

Dkt. Chaula amewataka Wanganga hao kubuni mikakati  itakayosaidia kuongeza mapato na kuhakikisha wanafunga mfumo wa kielektroniki wa ukusanyaji wa mapato katika vituo vyote vya afya nchini na kuhakikisha wanawasiamamia watumishi kuutumia mfumo huo kwa uaminifu mkubwa.

Akiongelea kuhusu maendeleo ya ujenzi wa vituo vya afya nchini ameupongeza uongozi wa Serikali  ya Mkoa wa shinyanga kwa kusimamia  ujenzi huo kwa weledi mkubwa na kusababisha kituo cha afya cha Tinde kukamilika kwa wakati.

Amewaagiza viongozi hao kuhakikisha wanasimamia upandaji wa Miti ya matunda katika maeneo ya kituo cha afya cha Tinde ili kupendezesha mandhari ya eneo hilo na kuwa kivutio kwa wagonjwa wanaokuja kupata huduma katika kituo hicho.

“Vituo vya afya vyote nchini vinatakiwa kuhakikisha vinaweka mazingira safi na kutengeneza mandhari ya maeneo kwa kupanda miti  ya matunda ili wagonjwa wanapokuja kutibiwa wavutike na mazingira yaliyopo” Anasema Dkt. Chaula

Aidha amewataka  wasimamizi wa maeneo kuhakikisha  wanaanzisha kampeni ya Usafi wa mazingira na kuachana na dhana ya kufanya usafi  wa maeneo baada  ya kukamilika  kwa shughuli za ujenzi.




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Magufuli: Viongozi tatueni kero za wananchi kwa wakati

    February 25, 2021
  • Shilingi Bilioni 3 zakwamua Wanawake, Vijana na Walemavu Geita

    February 25, 2021
  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.