• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

Imewekwa tar.: February 25th, 2021

Na Ruth Msechu, Pwani

Jumla ya vikundi 13 vya wanawake, vijana na walemavu katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani vimenufaika na mikopo isiyo na riba yenye thamani ya shilingi milioni 46.3 inayotokana na mapato ya ndani ya halmashauri hiyo.

Mojawapo ya vikundi vya wanawake vilivyowezeshwa ni Jawaba ambacho kina wanachama watano na kilipata mkopo wa shilingi milioni tano.

Kupitia mkopo huo kikundi kilianzisha biashara ya kuuza mchele,kufuga kuku wa kisasa ambapo wana  jumla ya kuku 100 pamoja na kutengeneza sabuni za maji.

Wanakikundi hawa wanasema kupitia miradi waliyoanzisha wameweza kuwalipia watoto wao ada za shule na kuwapatia huduma za msingi.

Kikundi kingine cha  wanawake kilichofaidika na mkopo ni kikundi cha  Mshikamano kinachojishughulisha na ubanguaji wa korosho na uuzaji wa korosho na kupewa mkopo usio na riba wenye thamani ya shilingi milioni nne.

Kikundi kingine cha vijana kilichonufaika na mkopo kutoka Halmashauri  ni Pande group kilichopo Bokomnemela, kikundi hiki kilipata mkopo wa shilingi milioni nne na kina wanachama watano wanaojishughulisha na mradi wa steshenari pamoja na saluni ya kiume.

Katibu wa kikundi hiki Ramadhani Bakari Msusa anasema kupitia mkopo huu wameweza kuboresha biashara yao kwa kuongeza vitendea kazi kama mashine ya kutolea kopi kwani mwanzo hawakuwa nayo, wameweza kuongeza mashine moja ya kunyolea pamoja na printa.

Aidha, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imeendelea kuwawezesha watu wenye ulemavu kwa kuwapatia mkopo wenye masharti nafuu. Kwa mwaka wafedha 2018/ 2019 halmashauri iliwezesha vikundi 10 vya watu wenye ulemavu kiasi cha shilingi milioni 22.5 kutokana na kutokuwepo na vikundi vingi vya watu wenye ulemavu halmashauri haikuweza kutoa mkopo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Kwa mwaka wa fedha 2020/2021 halmashauri ya wilaya ya Kibaya imetenga jumla ya shilingi milioni 159.7 kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Matangazo

  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati March 29, 2021
  • Kitabu cha Maombolezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli March 18, 2021
  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Watendaji Halmashauri watakiwa kujenga ushirikino na madiwani

    April 15, 2021
  • Tutayaendeleza yaliyoanzishwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli – Waziri Ummy

    April 15, 2021
  • TARURA Iringa watumia shilingi milioni 153 kukarabati barabara za Kalenga

    April 12, 2021
  • Shilingi bilioni 1.5 zatumika kujenga vituo vinne vya afya Tunduru

    April 12, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.