• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu

UNFPA kuboresha huduma za afya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

Imewekwa tar.: May 26th, 2019

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu Duniani (UNFPA) limeongeza fedha kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu na vifaa katika vituo vya kutolea huduma vya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Mkoani Dodoma

Hayo yamesemwa na Mratibu wa Shirika la UNFPA kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi. Dinah Atinda mara baada ya kutembelea miundombinu ya vituo vya kutolea huduma kujionea hali halisi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Mkoani Dodoma

Bi. Atinda amesema mradi wa UNFPA umeweza kuboresha huduma ya afya ya Mama na Mtoto katika Mikoa ya Kagera, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mtwara, Lindi na Simiyu na kuweza kupunguza idadi ya vifo vya wakinamama wajawazito na ongezeko la wananchi kuhudhuria vituo vya kutolea huduma

Amefafanua kuwa baada ya tafiti iliyofanywa katika Mikoa hiyo  iligundulika kuwa  wakinamama wengi wajawazito hawahudhurii  kiliniki na kutojifungulia katika vituo vya kutolea huduma kutokana  na ukosefu mkubwa wa miundombini bora katika vituo vya kutolea huduma jambo ambalo  linasababisha wengi kujifungulia kwa wakunga wa jadi  na kusababisha vifo.

Bi. Atinda amesema baada ya kuona mabadiliko hayo UNFPA iliona kuna umuhimu wa kuongeza vituo vya kutolea huduma katika mikoa ambayo idadi ya wanawake waliokuwa wakihudhuria Kiliniki kuwa ndogo ukiwemo Mkoa wa Dodoma.

Amesema Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino ni miongoni mwa Halmashauri ambayo nayo inatatizo la wakina mama wajawazito  kutokuudhuria kiliniki na kujifungulia kwa wakunga wa jadi hivyo Mradi wa UNFPA kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wameamua kufanya maboresho ya vituo vya kutolea huduma kwa Halmashauri hiyo ili kupunguza vifo vya Mama na Mtoto na kuboresha huduma za afya.

 “Miundombinu mibovu, kutokuwa na vifaa na vifaa tiba ni changamoto kubwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya za Halmashauri ya Wilaya cha Chamwino hivyo baada ya kuliona hilo shirika la UNFPA limeona umuhimu wa kujenga miundombinu ya vituo hivyo ili kuboresha huduma za afya katika Halmashauri hiyo” Amesema Bi. Atinda

Ameendelea kufafanua kuwa ili kuweza kujengewa miundombinu ya vituo vya kutolea huduma kunavigezo ambavyo vinapaswa kuangaliwa ikiwemo  umbali wa vituo vya kutolea huduma kutoka kwenye kituo cha Rufaa, uwepo wa idadi kubwa ya wananchi, idadi ya wakinamama wanaojifungulia kwenye kituo hicho cha kutolea huduma na idadi ya wakinamama wanaohudhuria kiliniki

Aidha amesema kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino itajengewa vituo vya kutolea huduma za afya vinne kwa kujengewa miundombinu, vifaa na magari ya kubebea wagonjwa.

Na.   Angela Msimbira Chamwino - DODOMA


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Waziri Jafo ataka Zimamoto, Skauti wakomeshe majanga ya moto shuleni

    February 26, 2021
  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Magufuli: Viongozi tatueni kero za wananchi kwa wakati

    February 25, 2021
  • Shilingi Bilioni 3 zakwamua Wanawake, Vijana na Walemavu Geita

    February 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.